Wabongo ni noma kwa kula......duh

Msosi wa watu saba au tano
 
wala hakuna tatizo ka ni jasho lake ruksaaaaaaaaaaaaa
 
hapo amekosea kidogo tu, angekaa chini kabisa na akavua viatu.
 
kama ameusotea poa tu! Lkn asije akaua watoto kwa njaa duh!
 
Hahaaa lol....

 
Last edited by a moderator:
Kula lazima, kuoga hiyari'''
 
kuna mbunge flani akipewa atakimaliza.
 
Huyu jamaa hana apetaiti kabisa.
OTIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…