Wabongo na mpira ni kiboko!

Wabongo na mpira ni kiboko!

Nilikodei tax litopolo.any way kuna lenzie lilimkodia bodaboda.
Mpende adui yako. Utabarikiwa zaidi. Shida ya wa utopolo ni mfomo. Wanabwabwaja hadi kero. Wakijibiwa kwa vitendo matokeo yake ndo hayo. Wanaishiwa nguvu.
Nawashsuri next time wanapoenda uwanjani walambe kabisa glucose na nyingine wabebe sambamba na madrip
 
Back
Top Bottom