Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,561
- 28,523
Sasa naamini, ukitaka kuwateka Watanzania, basi wekeza katika mpira.
Mi na mpira mbali mbli.
Jana tulikuwa na uchaguzi wa kumpata mgombea wa urais kupitia CCM.
Hata alipoteuliwa Mh JPM nderemo ziliishia ndani ya ukumbi.
Leo Yanga kapigwa goli 4 kwa moja alilomfunga Simba, nderemo ni kila mahali na jirani yangu hajaacha kupiga vuvuzela toka mpira ulipomalizika moja hivi.
Hivi Simba na Yanga wakigombea urais itakuwaje?
Nafikiria tu!