Wabongo na kipaji cha uharibifu

suri

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
404
Reaction score
260
Habari wana Jf
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbali mbali ya wabongo walivyo na akili lakini hawatumii akili ya kwa maendeleo bali kwa kuharibu au kurudisha maendeleo nyuma.
Nakumbuka kulikuwa na sumu za adesemi na ttcl za barabaran kwaajili ya kupiga kama huko mamtoni,wabongo wkagundua kwamba ukiingiza ile credit card ya adesemi ukadial na simu ikianza kuita,caller akipokea tu ndani ya sekunde 1 ya kwanza bac unachomoa kadi na kuendelea kuongea bure utakavyo.
Huko kenya simu za mchina zilishazuiliwa siku za nyuma kidogo lakini unaambiwa kuna vibanda vinafanya kazi ya re-networking hizo simu na bado zinapiga mzigo
Hayo ni baadhi tu wana jf najua kuna matukio mengine mnayafahamu.....fungukaaa
 

Attachments

  • IMG-20130115-WA0012.jpg
    21.9 KB · Views: 65
ugumu wa maisha unawafanya wawe wabunifu sasa wakati mwingine kwenye huo ubunifu ndio unaweza kuta wanaharibu...
 
Halafu wewe sio uliyekuwa ukinya pembeni shuleni kwenu wewe? Sasa kama tunajenga taifa la watu wanaokojoa pembeni mashuleni na kunya pembeni hawalengi tundu kama nyie nchi itaelekea wapi?kuna public toilet ngapi posta? Kama ni less than 5 basi viongozi nao walikuwa membea wa kujisaidia pembeni
 
Hata sijaelewa hiyo picha hapo
suri tafadhali hebu nitowe tongotongo nisijechekwa siku nyingine
 
Last edited by a moderator:

Taratibu mkuu Chimbuvu!!
 
Last edited by a moderator:
Hata sijaelewa hiyo picha hapo
suri tafadhali hebu nitowe tongotongo nisijechekwa siku nyingine

Huyu jamaa kaunganisha invetor anapasha maji baharini kwa heater ili aoge
 
Last edited by a moderator:
Eti eeeh! Kawaida yetu, uharibu ni dunia nzima si hapa tu bongo, sema wenzetu sheria wanazitii tofauti na sisi

Manoah leo nikikukwaruza gar yako tunaelewana kabla trafik hawajaja!gusa ngozi nyeupe uone,mpaka mahakama.tatizo tunapenda njia fupi kila kitu
 
Yap, bora yetu. Je? Wahindi. Yani muhindi ata ukitaka akupe mapenzi anakupa, ukimtishia mahakama au polisi, wote tunapenda short cut, ndio maana Billie gates kazi zake huwapa watu wavivu kwasababu anajua watatafuta njia fupi ya kufumbua tatizo
Manoah leo nikikukwaruza gar yako tunaelewana kabla trafik hawajaja!gusa ngozi nyeupe uone,mpaka mahakama.tatizo tunapenda njia fupi kila kitu
 
Hapo naweza kubaliana na wewe manake ucje ukathubutu kununua manukato tandika.jina lilelile harufu tofaut

kweli kabisa cheki wanavyochakachua viroba, konyagi na whisky utafikiri ni zenyewe onja sasa ndio utajua kitovu kinakaa nyuma au mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…