Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,754
- 145,528
Nchi tajiri wanaweza hata kusema wanachochea chumi zao, watu wanunue madubwana hela iongezeke kwenye mzunguko.
Nchi masikini mna import mpaka maputo na pipi, mtateteaje "extravagance" hii kama anavyoiita Janjaweed?
Bongo maisha yenyewe halloween tosha, halafu mnatafuta halloween bado?