Wabongo na bendera za nchi nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabongo na bendera za nchi nyingine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madoido, Nov 29, 2011.

 1. M

  Madoido Senior Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wana JF! JAMANI SIKU HIZI NAONA HAPA MJINI DAR NA TZ KWA UJUMLA KUNA WATU NA MAGARI YAO WANAWEKA BENDERA ZA NCHI ZA NJE,,TENA KUNA NCHI MOJA AMBAYO WENZETU WA DINI FULANI HUWA WANAENDA SANA BASI KILA MTU ANA HIYO BENDERA KWENYE GARI YAKE,,HII INAMAANISHA NINI? KUJIONYESHA TUJUE KWAMBA WALIENDA NG'AMBO AU? AU WAMECHOKA NA BENDERA YA NCHI YAO? NAOMBA MNISHAURI

  MDAU
   
 2. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Unaomba ushauri? Ushauri gani unaouhitaji kuhusiana na bendera?
   
 3. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wewe umeweka bendera gani? Weka yako nyamaza, pilipili usiyoila yakuwashia nini? Ukisema hatuna uzalendo nenda kwanza kawaulize watawala wako wanaotembea na bendera ya Tanzania lakini wanaiuza Tanzania kwa bei poa! Huo ndio uzalendo au wanatangaza biashara? Mimi gari yangu nimeweka Bendera ya Israel na ya Tanzania na maana naijua mwenyewe! Nimeamua kutoboa ukweli maana bendera unayolalamikia ni ya Israel lakini unazungukazunguka kama usiyejiamini. Hujalazimishwa kuweka wewe.
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Halafu punguza ujinga maana mtu kuweka bendera siyo lazima awe amefika hiyo nchi, kujionyesha!!? Swali la kidaku hilo unaonekana una lako jambo, jiulize kwanini washabiki wa Man U na Asernal ni wengi kuliko wa Yanga na Simba! Usirudie kuuliza swali la kidaku kama hili maana linakutambulisha jinsi ulivyo hewa ktk ufahamu wako
   
 5. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Halafu anasema kila mtu anayo! Ina maana hata yeye anayo lakini bado anauliza upupu
   
 6. M

  Manyovu Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Madoido nafikiri ungemuuliza mmojawapo angekupa majibu sahihi kwa nini. Hata kwangu nyumbani ukija sebuleni utakuta bendera mbili ya Tanzania na ya Israel. Nina maana yangu nzuri kabisa ya kuwa na hizo bendera mbili japo sijawahi kukanyaga Israel
   
Loading...