Unachopanda ndio utakachovuma.
Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.
Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??
Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba. Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2...
Kule kwa wenzetu.
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...
Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...