Wabongo kwa misemo mimi hoi

Cha mtu uliwa na mtu, chuma ndicho uliwa na kutu. Ukitaka ule peke yako basi hiyo ni sumu na ukitaka uende nayo wewe basi hilo ni jeneza,sanda&kaburi. Apendwi mtu inapendwa pochi. Mume wa mtu maziwa,mke wa mtu hana garama japo waoga wanadai ni sumu kwa uoga wao. Heshima pesaa kelele na shkamoo peleka kwenu.
 
Hahahah hapo kwa natural achia misitu.....ukimya peleka maktaba
 
~Kama pesa mawe jiji tajiri lingekuwa ni mwanza.
~Silaha pesa kisu mzigo tu
~Heshima Pesa Shikamoo ni makelele tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…