WABONGO JAMANI TUIGE UBUNIFU MZURI HUU HAPa

WABONGO JAMANI TUIGE UBUNIFU MZURI HUU HAPa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
NI SANDUKU NA NI USAFIRI

Mkulima mmoja nchini China ametengeneza sanduku ambalo pia ni kama pikipiki.



Sanduku hilo lina matairi mawili, na linaweza kubeba watu
wawili, na linaweza kwenda umbali wa kilomita 60 kwa kasi ya kilomita 20 kwa saa.

Linatumia nishati ya betri. Mkulima huyo He Liang ametumia miaka 10 kuunda sanduku hili. Lina nafasi ya kutosha kuweka nguo na likiwa tupu lina

uzito wa kilo 7.


10388683_440249359445865_273072608345965805_n.jpg



10334287_440249426112525_9027795163405871859_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom