Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Mkuu philipo kidwanga Vinafika mikononi mwa Mafisadi nini?hata vifaa vya watu Vilema?ahh hao Mafisadi wana roho ya ukatili kweli kweli.bahati mbaya ndugu mzizi huwa haviwafikii wenyewe inavyotakiwa.
Mkuu SIMBA WA TARANGA Acha kashfa zako hujuwi kusoma nii? hebu soma maelezo ya habari yenyewe.Au ndo wanafungasha kurudi home baada ya kichapo.
duniani kuna watu katili mpaka shetani akiwaona anaona wivu sababu wanamzidi kipaji.Mkuu philipo kidwanga Vinafika mikononi mwa Mafisadi nini?hata vifaa vya watu Vilema?ahh hao Mafisadi wana roho ya ukatili kweli kweli.
Sitashangaa kuvikuta vikiuzwa madukani. Hiyo ndio Bongo Bwana.Mkuu philipo kidwanga Vinafika mikononi mwa Mafisadi nini?hata vifaa vya watu Vilema?ahh hao Mafisadi wana roho ya ukatili kweli kweli.
Mkuu philipo kidwanga Vinafika mikononi mwa Mafisadi nini?hata vifaa vya watu Vilema?ahh hao Mafisadi wana roho ya ukatili kweli kweli.
hii dunia hii ina watu wa ajabu sana hii na sijui mwisho wake ni nini?jana niliongea na mtu kuhusu nyumba za wazee kolandoto. Niliona documentary moja kitambo ya kusikitisha sana, wazee wanakula mizizi na hawana dawa na majumba yamebomoka. Nilistaajabu ati wanapewa fungu na wizara ya ustawi wa jamii. Nikasema bible ingesema 'usimuache fisadi aishi'! Hata kama ni mwizi, lakini fungu la wale wazee lingeachwa. Na hata kama ni fisadi, walau fungu la walemavu tungeliacha aisee!