Wabobezi wa electronics msaada tafadhali.

Mandela90

Senior Member
Feb 12, 2017
152
250
Habari wadau, Nina music system aina LG 4000W (PMPO) Inanisumbua sana upande wa sauti, kuna kipindi nikiwasha sauti haitoki kabisa ila zile graph za kuonesha kupanda na kushuka kwa sauti zinakuwa active lakini haziendi sawa na flow ya sauti. Na nikiiacha kwa muda nikaiwasha sauti inawaka tena. Kuna siku nikaipeleka kwa fundi alipoiwasha tu pale kwake ikawaka akajaribu kutafuta hakufanikiwa lkn nilivorud nyumbani mwendo ukawa ule ule, on and off. Nikawaza pengine umeme unapofluctuate husababisha hilo lkn mpaka sasa sina majibu.
Msaada tafadhali


Sent using Jamii Forums mobile app
 

mijikamimi

JF-Expert Member
Aug 12, 2015
1,033
2,000
pia chunguza nyaya zinazotoka kwenye circuit kwenda kwenye spika kama ziko na kutu au gan
Tafuta kifaa kinaitwa "spikes / surge arrester" kinaweza kuwa suluhisho.

Pia tazama kama kuna lose connections zozote kwenye connectors zote za AC na DC.

Otherwise, tupa nunua nyingine. Usiumize kichwa.

Sent using mijikamimi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom