Sio lazima uwe na umeme ili uwe na internet hizi hata ukiwa na wireless 3G/4G unasurf kokote....
ha ha ha kabisaaa!!!:lol::lol:Una surf hata kwa sim na sim unachaji kwenye gari,Na umeme hata wa generator unaweza kutumia lolUnasurf kwa kutumia nini? Kibatari?
Sio lazima uwe na umeme ili uwe na internet hizi hata ukiwa na wireless 3G/4G unasurf kokote....
Nishajibu!!!jibu sasa swali la msingi
betri za national
Mkuu angalia statement yake vizuri. Alisema "bila umeme".......sio umeme wa tanesco. Hapo ndo my humour ilipotokea......hata wa betri za national(siku hizi Panasonic) ni umeme.
Ukweli ni kuwa bila umeme dunia ya sasa itakua chaos. Sipati picha tutaishije, tumekuwa wategemezi/ wazembe mno....teh teh Jaribu kuimagine