Wabaya hawana amani

Wabaya hawana amani

ok waelimisheni maana wanakera.
Ndugu katika kuelimisha hakuchagui ni nani anaye elimisha

Hata we unaweza kuwaelimisha,kwa kuwafungulia vifungu katika biblia
Tetea hoja yako wakuelewe,waelimike

Vile unavyojua,si wote wanajua,kwahiyo ni muhimu kuwaelimisha wanaohitaji elimu,usiwe mbinafsi na kuwatupia lawama tu,pengine hawajui walitendalo.
 
Nawashauri waitafute amani na watu wote,tena sio kuitafuta tu ilimradi,waitafute kwa bidii

Waebrania 12:14
Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote ,na huo utakatifu,ambao hapana mtu atakaye mwona Bwana asipo kuwa nao.
Agizo la Mungu katika

Yohana mtakatifu 13:34-35
inasema
34Amri mpya nawapa,mpendane.kama vile nilivyo wapenda ninyi,nanyi mpendane vivyo hivyo.35Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu,mkiwa na upendo ninyi kwaninyi.

Kuna wengine wamekalili neno katika biblia lisemalo "mkatengwe nao" wamejitenga na wakristo,wanasalia nyumbani
Bila kufikiri kwa makini neno hili lina maana gani

Hapa Neno lilikuwa na maana mkatengwe na waabudu sanamu.
Waabudu sanamu ni sisi wakatoliki au?mnatutenga?
 
Waabudu sanamu ni sisi wakatoliki au?mnatutenga?
Hahaha
Mkuu naomba jijibu mwenyewe usiseme nimekuonea

Kutoka 20:3-5

3Usiwe na miungu mingine ila mimi.
4Usijifanyie sanamu ya kuchonga,wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni,wala wala kilicho chini duniani,wala kilicho majini chini ya dunia.
5Usivisujudie wala kuvitumikia;kwa kuwa mimi ,BWANA ,Mungu wako ni Mungu mwenye wivu;nawapatiliza wana maovu ya baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

Kuvitumikia maana yake
Je sanamu za kanisani katoliki zikiwa na vumbi hamzifuti???


Jibu jipe mwenyewe mkuu.
 
Amani ndugu zangu ni jambo pana na tata.
Najiuliza kila siku kazi ya UN kuleta Amani Congo ,somalia,na duniani kote.
Tunaposema kati ya MTU na MTU ni sawa na kusema kati ya taifa na taifa.

Israel tunaambiwa Amani atakuja kuileta baada ya harmagedon.
Tafuteni kuwa na Amani kwa bidii.wazo hili nalifananisha na hoja ya UPENDO.1cor 13:13.

Amani,upendo,na imani kwa mtazamo wangu inahitaji tuishi kama Yesu mwenyewe100%.
Otherwise Neema ya Kristo itubebe.

Asanteni.
 
Ndugu katika kuelimisha hakuchagui ni nani anaye elimisha

Hata we unaweza kuwaelimisha,kwa kuwafungulia vifungu katika biblia
Tetea hoja yako wakuelewe,waelimike

Vile unavyojua,si wote wanajua,kwahiyo ni muhimu kuwaelimisha wanaohitaji elimu,usiwe mbinafsi na kuwatupia lawama tu,pengine hawajui walitendalo.
basi sawa
 
Back
Top Bottom