Mgboss JF-Expert Member Jul 7, 2016 497 278 Jan 10, 2017 #1 Wakurya, Wasukuma, Wagogo, Wahaya, Waha, Wanyaturu, Wachaga na wote wajulikanao kama Wabantu leo ni uzao wa nani katika Biblia?
Wakurya, Wasukuma, Wagogo, Wahaya, Waha, Wanyaturu, Wachaga na wote wajulikanao kama Wabantu leo ni uzao wa nani katika Biblia?
Gamba la Nyoka JF-Expert Member May 1, 2007 7,022 9,292 Jan 10, 2017 #3 Mgango said: Musa na mkewe mkushi Click to expand... Kwa mujibu wa Uyahudi, Uyahudi hutoka kwa mama, Je Watoto wa Musa ni Jews?, Mbona mama yao siyo Myahudi?
Mgango said: Musa na mkewe mkushi Click to expand... Kwa mujibu wa Uyahudi, Uyahudi hutoka kwa mama, Je Watoto wa Musa ni Jews?, Mbona mama yao siyo Myahudi?
jozzeva JF-Expert Member Oct 27, 2012 2,193 1,827 Jan 11, 2017 #4 Hao ndio watakuwa wenye bantu store morogoro.