Wabantu kabla ya kristo (B.C)

Mgboss

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
497
278
Habari

Naitaji kufahamu historia ya sisi Wabantu miaka 2000 na kitu iliyopita, jina letu la kale, falme zetu za kale, na yote ya zamani za kale yatuhusuyo. Neno "Bantu" maana yake "WATU" kiswahili hivyo pia kama kuna jina letu halisi tofauti na ""BANTU"" ni vyema tukalijua. Maana darasani tunaanza kufundishwa kuanzia miaka ya 1500 kipindi cha utumwa na ukoloni. Karibuni!
 
Back
Top Bottom