Wababe wamekutana: Angalia hii video halafu itafakari

Wababe wamekutana: Angalia hii video halafu itafakari

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hhhahahahahah rais wa yugander hatari sana
 
Hahahaha! Kuna mmoja anaongea Kiswahili tu wakati wenzie wanabonga kingereza tu. Mwisho wa siku kajipigia kura yeye mwenyewe tu. Hahahaha! Mr Somebody has 1 vote.
 
M7 ametumia mbinu za medani kujipatia kura 6 na yeye ndio mshindi.

teh teh teh

Yaani kuna maana kubwa sana hapo.
 
Viongozi wa Africa wajitafakari sana
 
Back
Top Bottom