Wababe wa nyoka hawa hapa

Wakati were unamuogopa nyoka kufa hawa jamaa kwao ni mchumba tu
 
honey burger n noma, sumu ya nyoka yeye analewa tu kama mimi na wewe tukinywa ki-ndovu.
 
Huyu mnyama huwa wanamuita fearless animal

Nimeamini angalia hapa kamvimbia simba

Hapa kamvimbia cobra tena kinomanoma

Hapa anamtafuna nyoka live

Hapa kakomaa na kobe

Hakika anastahili kuitwa fearless
 
Hako kama kapanya ndio kanaitwaje mshanajr?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…