Unaweza ukatu guide mfano course zipi na zip za kusoma mfano mtu anayependa kutengeneza auto systems mfano integrated sensors.
Kipi cha kusoma kwenye open source
na kwenye computer systems.
Utaalamu wa mambo ya kutengeneza auto system kama Integrated sensors, siku hizi yamerahisishwa kwa ujio wa vitu kama Arduino na Rasberry Pi
Hivi vifaa vimewezeshwa na ni rahisi kujifunza kuweza kutengeza auto system zinazotumia lugha ya kompyuta, na haihitaji ujuzi mahiri wa somo la electronics.
Lakini si vibaya ukajaribu kujifunza pia basic electronics uliujue sensors na vifaa ya electronis(components) vinavyofanya kazi
Kutumia Arduino inahitaji kujifunza lugha ya kompyuta inayoitwa C++ au C,
Arduino ni open-source electronics platform ambayo ni level nzuri ya kwanza kwa mwenye kuanza kutaka kujifunza mambo hardware and software.
Arduino hujulikana kama microcontroller, uzuri wake ina kuwa na CPU, Memory na Input and Output I/O na ambayo inakuwa haina mlolongo mrefu wa maelezo ya kutumika kuendesha auto system.
Open-source electronic prototyping platform enabling users to create interactive electronic objects.
www.arduino.cc
Huu hapa chini ni mfano wa aina moja ya hizi Arduino board, kuna mibadala mingi iliyotengenezwa kwa mfumo kama wa Arduino na yenye bei nafuu kama Elegoo board
Kutumia Rasberry Pi unatakiwa kujua Python ambayo ni lugha inayotumika kuiprogramme,
Kuna mibadala ya Rasberry Pi, kama
Hii hujulikana kama Microprocessor, yaani inatumia mlolongo mrefu wa maelezo ya kompyuta ili kufanya kazi..
Hizi kidogo ni ghali, lakini kuna mibadala yake kama BBC Micro bit..
Learn Python for free with the Raspberry Pi Foundation. Take an online computing class in Python and learn how to code your own programs today.
www.raspberrypi.org
The pocket-sized computer transforming the world
microbit.org