Yaani mnatoka kwa Mkemia halafu Mama nae
amekomaa Baba Salha ngoja nimueleweshe ?
Ila haya mambo ni kupiga moyo konde tu
maana ufuatiliaji huu wa vipimo ni mbaya sana.
hii kwa Afrika ndio kabisaaa, maana unakuta mama ana MUME, KIDUMU, KIWALET, KI M-PESA, MPAKA RANGI nk. ukijifanya unapima DNA jua unatafuta kulia mtuzima.

kuna baba mmoja alinunua robot ambalo mtu ukiongea uongo unapigwa kofi na roboti...siku moja mtoto alipewa ripot kutoka shulen ila aliichana njiani coz alifeli ,kufika nyumbani
baba kamuuliza "liport ikwapi ?"
dogo akabu "imepeperuka..baba "
baba "haya umekuwa wa ngap"
mtoto ''nimekuwa wa tano " hapohapo akapigwa bonge la kofi na robot
baba ''umeona ulivyo muongo we mtoto! me enzi zangu nasoma nilikuwa sikosi tano bora" baba nae kofi mtoto akaanza kumcheka baba yake akatokea mama yake akamwambia mtoto "we mbona unacheka unadharau we mtoto unamcheka huyu si baba yako" MAMA NAE KOFI kutoka kwa robot....kumbe mtoto sio baba yake mzaz yule...ilikuwa kizazaaa nyumba ile