I feel depressed sijui kwanini.....
Aibu ya nini tena wewe binti?
Ulilala mapema DA!Karibu!
Kinachonitatiza ni kikubwa tu.Embu nieleze kinachokutatiza Fynest!
Uko VIA MOBILE kwahiyo hiyo message hauwezi kuiona, hata huyo babu wa loliondo hawezi kunisaidia tatizo langu uwezo wake mdogo.hujui kwanini!!
Mmh, inabidi twende loliondo.
Kinachonitatiza ni kikubwa tu.
Something somewhere, the resentment rides high, is my timing that flawed?unatatizwa na nini mkuu?hii thread inamaliza utata wako sasa
Uko VIA MOBILE kwahiyo hiyo message hauwezi kuiona, hata huyo babu wa loliondo hawezi kunisaidia tatizo langu uwezo wake mdogo.
Ahaaa ahaaaa l.o.laah jamani. Mmh! Hilo tatizo linatisha. Ngoja tusubiri mponyaji mwingne.
Ahsante kwa kuusemea moyo wangu. Mimi nilikuwa naona aibu kuwaambia kama nawapenda... Ha ha ha!
Mimi penda wao wote.
Hi!!!Kinachonitatiza ni kikubwa tu.
marytina huyo babu wa loliondo hawezi kutatua tatizo languHi!!!
mbona lizzy keshamaliza yote kwenye hi sred
Basi wewe ni wa LOLIONDO kwingine hawatakutanzua.