Wababa..kina kaka...wajomba...waume....wapenzi na marafiki!!!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,414
Kina dada tumezidi kulalamika kuhusu kaka/baba/waume/wapenzi wetu....kwanzia majumbani mpaka hapa jamvini!!Ohh mnatusema vibaya...hamtujali...hamtuheshimu and so so.....

Ila tukiacha mabaya tunayoyaona kirahisi kuna mazuri mengi sana mnayotufanyia!!
Tunawashukuru kwa:
...kutupenda sana hata tunapokua hatueleweki!!
...Kutununulia vocha hata kama hatuwapigii!!
...Kutupigia wakati sisi tunabeep tu!!
...Kutusifia hata tusiposhukuru!!
...Kutujali hata tunapozidisha malalamiko!!
...Kutushukuru hata tusipostahili!!
...Kutuamini hata tunapokosa uaminifu!!
...Kutulinda hata tunapogombania usawa!
...Kutubariki na uwepo wenu hata tunapojifanya hatuwahitaji!
...Kutuvumilia hata tunapokua wakorofi!
...Kutuelimisha hata tunapokua wabishi na vichwa ngumu!
...Kutufurahisha hata tunapowaponda!!
...Kutudekeza kama watoto!!
...Kutubembeleza!!
n.k

All in all asanteni sana kwa kua na sisi hapa jamvini pia majumbani!!!Kama ambavyo ingekua ngumu kwa nyie kuishi bila sisi pamoja na kero zetu ndivyo ambavyo hata sisi hatutaki kuishi bila nyie!!!Mbarikiwe ili mzidi kua na sisi!!!

Kwa niaba ya wadada na wamama wenzangu TUNAWAPENDA SANA ila mpunguze muda mnaokaa bar mtugawie na sisi!!!!

We love you....:A S-heart-2:ALWAYS!!!!:busu

Kwa hisani ya KLORO......
 
Nawapenda sana wanaume....bila wao singekuwa nilipo....they have been my support and strength....!!!!

Ila kuwakosoa ni wajibu kama vile ilivyo wajibu wenu......ili tuzidi kupendana na kufanya maisha yawe na thamani zaidi.
 
Kumbe mnajua usumbufu mnaosababisha,Haleluya hujakosea hata moja LIZZY
 
Kina dada tumezidi kulalamika kuhusu kaka/baba/waume/wapenzi wetu....kwanzia majumbani mpaka hapa jamvini!!Ohh mnatusema vibaya...hamtujali...hamtuheshimu and so so.....

Ila tukiacha mabaya tunayoyaona kirahisi kuna mazuri mengi sana mnayotufanyia!!
Tunawashukuru kwa:
...kutupenda sana hata tunapokua hatueleweki!!
...Kutununulia vocha hata kama hatuwapigii!! (HA HA HA HA)
...Kutupigia wakati sisi tunabeep tu!! (UUUUUUUUWWIIIIIIII)
...Kutusifia hata tusiposhukuru!!
...Kutujali hata tunapozidisha malalamiko!!
...Kutushukuru hata tusipostahili!!
...Kutuamini hata tunapokosa uaminifu!!
...Kutulinda hata tunapogombania usawa!
...Kutubariki na uwepo wenu hata tunapojifanya hatuwahitaji!
...Kutuvumilia hata tunapokua wakorofi!
...Kutuelimisha hata tunapokua wabishi na vichwa ngumu! (Safi sana)
...Kutufurahisha hata tunapowaponda!!
n.k

All in all asanteni sana kwa kua na sisi hapa jamvini pia majumbani!!!Kama ambavyo ingekua ngumu kwa nyie kuishi bila sisi pamoja na kero zetu ndivyo ambavyo hata sisi hatutaki kuishi bila nyie!!!Mbarikiwe ili mzidi kua na sisi!!!

Kwa niaba ya wadada na wamama wenzangu TUNAWAPENDA SANA ila mpunguze muda mnaokaa bar mtugawie na sisi!!!!

We love you....:A S-heart-2:ALWAYS!!!!:busu

Tangu nimuoe huyu binti na ameshakolea mapenzi yangu, sasa amegeuka mshauli mzuri kwa wenzake
Waambie hao bana, wanaume watamu tupo
 
Nawapenda sana wanaume....bila wao singekuwa nilipo....they have been my support and strength....!!!!

Ila kuwakosoa ni wajibu kama vile ilivyo wajibu wenu......ili tuzidi kupendana na kufanya maisha yawe na thamani zaidi.
Mambo mpendwa,hujatokea kwenye tangawizi tea yangu kesho usikose basi after job kuna bites pia.
 
Sawa dear...nisamehe leo nilikuwa na wageni yaani nimebanwa sana na shughuli.....kesho nitakuja.....naomba unipitie....:wink2::hand:
 
We love you too! Muaaaahhhhhh! What a positive thread! Thank you Lizzy...ubarikiwe sana.
 
Tangu nimuoe huyu binti na ameshakolea mapenzi yangu, sasa amegeuka mshauli mzuri kwa wenzake
Waambie hao bana, wanaume watamu tupo

Hubby.....you bring out the best of me!!!!!
 
Tangu nimuoe huyu binti na ameshakolea mapenzi yangu, sasa amegeuka mshauli mzuri kwa wenzake
Waambie hao bana, wanaume watamu tupo
CPU, CPU nakuonea huruma mshikaji enjoy your 2 days in the sun by tuesday you wont know what hit you Liz will be in the cold phase.
 
hehehe kamanda unataka kudivide and rule nini? eniwei hili sredi jinsi lilivyonikosha staki hata niende ofu topik acha niishie hapa. yaani sredi limenipa mzuka wa kulibembeleza jimama flani (jina kapuni)
 
Back
Top Bottom