Wababa..kina kaka...wajomba...waume....wapenzi na marafiki!!!!

hehehe kamanda unataka kudivide and rule nini? eniwei hili sredi jinsi lilivyonikosha staki hata niende ofu topik acha niishie hapa. yaani sredi limenipa mzuka wa kulibembeleza jimama flani (jina kapuni)

Rafiki nikwambie kitu ? your spreading yourself too thin to have an impact, we amua kama ni Hus,Keren au .. halafu jenga kambi hapo,hivi watakuona sharobaro flani lol!
 
CPU, CPU nakuonea huruma mshikaji enjoy your 2 days in the sun by tuesday you wont know what hit you Liz will be in the cold phase.

Gosh Uporoto!!!Why are sooo cold???I thought we were friends!!!:A S 13:
 
Rafiki nikwambie kitu ? your spreading yourself too thin to have an impact, we amua kama ni Hus,Keren au .. halafu jenga kambi hapo,hivi watakuona sharobaro flani lol!
dah! kamanda unaenda ofutopik. halaf mbona michelle haukumtaja? ubaguzi huo kamanda
 
Ubarikiwe sana Liz,

Ni kweli kabisa..bila sisi hakuna wao na bila wao hakuna sisi. Hakuna kitu kinaweza kuwa kamili bila ubavu wa kulia au wa kushoto kuwepo!
 
Ubarikiwe sana Liz,

Ni kweli kabisa..bila sisi hakuna wao na bila wao hakuna sisi. Hakuna kitu kinaweza kuwa kamili bila ubavu wa kulia au wa kushoto kuwepo!

Kweli kabisa babu!!!
Nawe ubarikiwe pia!!!
 
Imetulia sana hii thanx lizzy, dedication kwa wanaume wote wanaotupenda I LOVE THE WAY YOU LOVE ME by westlife
 
Ahsante kwa kuusemea moyo wangu. Mimi nilikuwa naona aibu kuwaambia kama nawapenda... Ha ha ha!
Mimi penda wao wote.
 
Back
Top Bottom