Mfamaji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2007 Posts 6,629 Reaction score 1,951 Dec 29, 2011 #1 Niliona na kusikia tbc eti vyombo vya kupikia chakula ni vidogo hivyo kulazimika kupika kwa zamu kwa chombo. Watu wanashinda na njaa.Hivi jamani hata magudulia ya kupikia tumekosa? Aibu aibu
Niliona na kusikia tbc eti vyombo vya kupikia chakula ni vidogo hivyo kulazimika kupika kwa zamu kwa chombo. Watu wanashinda na njaa.Hivi jamani hata magudulia ya kupikia tumekosa? Aibu aibu