Waasi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen waushambulia Mji mkuu wa Saudia Riyadh kwa Maroketi

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,351
Reaction score
38,941
Wazee kumekucha huko Saudia arabia baada ya waasi wa houth kurusha maroketi ambayo yametua katika mji mkuu riyadh na taarifa zinasema kwamba madhara makubwa sana yametokea.

Sasa hii ni vita kamili imetangazwa kati ya saudia arabia na washirika wake wa marekani na israel dhidi ya Iran Tuombe Mungu asaidie hali mbaya inakuja.
 
Wazee kumekucha huko Saudia arabia baada ya waasi wa houth kurusha maroketi ambayo yametua katika mji mkuu riyadh na taarifa zinasema kwamba madhara makubwa sana yametokea.

Sasa hii ni vita kamili imetangazwa kati ya saudia arabia na washirika wake wa marekani na israel dhidi ya Waislam. Tuombe Mungu asaidie hali mbaya inakuja.
kwani hapo ina maana nani anatetea uislam na nani anaupinga mkuu?
 
IMG_20180326_081904.jpg
IMG_20180326_082142.jpg
 
Wazee kumekucha huko Saudia arabia baada ya waasi wa houth kurusha maroketi ambayo yametua katika mji mkuu riyadh na taarifa zinasema kwamba madhara makubwa sana yametokea.

Sasa hii ni vita kamili imetangazwa kati ya saudia arabia na washirika wake wa marekani na israel dhidi ya Waislam. Tuombe Mungu asaidie hali mbaya inakuja.
dhidi ya waislamu ? how?
 
Saudi arabia inatumika. na juzi Prince mohammed bin salman alikuwa DC akisaini mkataba wa kupewa silaha zaidi ya USD bilion 3 kwenda kuuwa waislam.
hii ni vita kati ya Iran na Israel na marekani .saudia anatumika tu
Una double standard sana mkuu, hizo zinazorushwa kwenda saudia zinatumika kuuwa wasaudia, zikirushwa kwenda yemen zinaenda kuuwa waislam! Ila wa saudia sio waislam. Btw ni lini saudia walitumia siraha zao kuulia hao waislam unaowataja?
 
Wazee kumekucha huko Saudia arabia baada ya waasi wa houth kurusha maroketi ambayo yametua katika mji mkuu riyadh na taarifa zinasema kwamba madhara makubwa sana yametokea.

Sasa hii ni vita kamili imetangazwa kati ya saudia arabia na washirika wake wa marekani na israel dhidi ya Waislam. Tuombe Mungu asaidie hali mbaya inakuja.
Mkuu signature yako tu...
 
Padri Mcharo
Yaani wasaudia wamerushiwa mabomu hajaona kitu, yeye kwake waislam ni wa Iran ila wa saudia sio waislam, ukimwuliza kwa nini, atakwambia kwa sababu ana urafiki na Marekani na Esrael
 
Una double standard sana mkuu, hizo zinazorushwa kwenda saudia zinatumika kuuwa wasaudia, zikirushwa kwenda yemen zinaenda kuuwa waislam! Ila wa saudia sio waislam. Btw ni lini saudia walitumia siraha zao kuulia hao waislam unaowataja?
sina double standard naongea ukweli hata wasaudi wenyewe hawapendezwi na uhusiano wa nchi yao na mataifa yanayowaumiza waislam
 
Acha ushamba bwana mdogo unajua maana ya link? kuna link gan umeweka hapo juu zaid ya picha umescreenshot....!!
first of all mimi siyo bwanamdogo. link maana yake nini?
 
Back
Top Bottom