Waasi wa M23 wavuka mpaka kuingia Congo DR wakitokea Uganda leo

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,398
KINSHASA, CONGO: Serikali yatoa taarifa kuwa takribani wapiganaji 250 wa M23 leo wamevuka mpaka kuingia nchini humo wakitokea nchini Uganda.

Waasi hao walisalimu amri mwaka 2013 na kurudi kwao katika ardhi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni changamoto mpya kwa Rais Kabila ambaye ameanza kujiimarisha ya baada ya Gomez kuondoka madarakani richa ya kumaliza muda wake mwaka jana.


=======
Armed fighters led by the military commander of former Congolese rebel group M23 have crossed the border into the Democratic Republic of Congo from Uganda, Congolese officials said on Sunday.

The rebels had been in camps for demobilised fighters in Uganda following their defeat in 2013. Formerly, they were the largest of dozens of armed groups in the country and controlled huge swaths of the country's mining heartland in the east.

Renewed violence would be a major challenge for President Joseph Kabila, who is trying to fend off mounting opposition over his decision to stay beyond his mandate which expired last month. Some observers fear tensions could spark a new civil war.

"They made an incursion yesterday from Uganda at Ishasha in two columns and the Congolese armed forces have dealt with them for now," said government spokesman Lambert Mende, referring to a border crossing near Virunga National Park.

He said rebel commander Sultani Makenga was among them, leading one of the two columns.

Julien Paluku, governor of the North Kivu province, also confirmed the encroachment and condemned Uganda for allowing them to leave on U.N.-funded Radio Okapi.

In a brief telephone conversation with Reuters, he denied that there had been fighting.

The whereabouts of the rebels on Sunday was not clear. Officials in Uganda were not immediately available for comment.

At its peak, M23 controlled North Kivu's capital Goma but was driven out by U.N. and Congolese forces. Since then, the fighters have been scattered in camps in neighbouring Uganda and Rwanda awaiting amnesties.

=======
UPDATES

KINSHASA, Congo (AP) - Congo's government says 250 armed members of a former rebel group have crossed from Uganda into Congo.

Government spokesman Lambert Mende said Sunday the government was surprised by the incursion of two columns of the ex-M23 rebels entered Congo's North Kivu province.

North Kivu governor Julien Paluku warned that the former M23 members carried guns and ammunition and could attack.

M23 operated in eastern Congo from 2012 until it was repulsed by U.N. forces and Congo's army. Many rebels fled to Rwanda and Uganda before a 2013 peace agreement.

Uganda and Congo agreed last year to share intelligence to combat rebel groups active along the countries' border.

Eastern Congo has been plagued by a myriad of armed rebels since the Rwandan genocide in 1994.
 
Kwani wameachiwa? Mara ya mwisho walikimbilia uganda wakawa disarmed na kushikiliwa kwenye kambi za huko wakiongozwa na kiongozi wao Sultan Makenge.
 
Hasiyemjua Kagame na Kabila arudi akaisome historia vizuri.
976828ee557752f379b9652b3205e73e.jpg
 
FDLR wamedhibitiwa na silaha wamenyang'anywa na wanashikiliwa katika makambi yenye ulinzi mkali wa UN, lakini M23 wanakula bata uganda na Rwanda kwenye makambi ya kimwendo kasi, mara wavamie Burundi, mara DRC...Not fair at all
 
Kwani wameachiwa? Mara ya mwisho walikimbilia uganda wakawa disarmed na kushikiliwa kwenye kambi za huko wakiongozwa na kiongozi wao Sultan Makenge.
Inashangaza sana. Yaani waasi wanatokea Uganda wakiwa na silaha!! Wamepewa silaha na nani?
 
Kama tanzania sasahivi ikingia kusaidia hakikisheni hamuachi kitu kuanzia uganda, rwanda na huko kongo wakawachomoe tumechoka sasa na kagame na mwenzie museven
 
ni janja tu ya Kabila akisaidiwa na akina Kagame kutengeneza hali ya sintofahamu kule Kongo ili kudivert attention ya wacongoman wanaotaka aondoke badala yake attention ihamie kwa M23 ili yeye aendelee kutawala kwa kisingizio cha nchi ipo ktk hali ya kivita.
 
Nawaonea huruma wakongo mtetezi wao dhidi ya M23 yupo msonga na huyu aliyopo ni team IT from .................
hata wao kina kagame wameona udhaifu huo wakaamua wachukue opportunity hiyo mapema kabla ya 2020 atakapokuja mwingine. heshima ya tz sijui nani ataimaintain aisee.
 
Hapa JK ndio aliwaweza wehu hao (M23)
kagame ameangalia we akaona kuna mwanya wa kupita, unajua bora hata tungemchagua membe angetunza heshima ya tz kuliko hawa wanaojipendekeza kwa kagame badala ya kagame kujipendekeza kwetu....
 
Back
Top Bottom