Dunia imeendelea sana washangaa kutolewa risasi bila damu,Shangaa hivi sasa,Daktari anaweza kuwa yuko Zanzibar,akamfanyia upasuaji mgonjwa yuko Dar kupitia IT,computer.Au kufanyiwa matibabu,bila upasuaji kwa kutumia wire,kuingizwa sehemu husika na huo waya,kukata sehemu yenye maradhi.