Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,011
- 142,702
Upo sahih suluhu pekee Izrael nae anapaswa kudundwa ili aonje ladha ya maumivu itakayomshawish apunguze ukalKwa zaidi ya miaka 70 sasa Waisrael wamekuwa wakiwanyanyasa sana na kuwaua.
Huko Gaza na West Bank, Waisrael wanawaua kila siku.
Gaza huko Waisrael wanadhibiti karibu huduma zote za msingi.
Idadi ya vifo tokea tukio la Oktoba 7 litokee, idadi ya vifo vya Wapalestina inaongezeka kila siku huku idadi ya Waisrael waliokufa haijabadilika.
Kila nikiangalia taarifa za habari za Al Jazeera, nikiona vitoto vya Kipalestina vilivyokufa au vilivyoumia na kutapakaa damu mwili mzima, najawa na simanzi sana.
Nchi zote hizo za Kiislamu na/au Kiarabu zimeshindwa kabisa kuungana na kuwatetea wenzao.
Washirika wa Israel wenyewe hawasiti kumpiga tafu rafiki yao.
Sasa Waislam na Waarabu wanakwama wapi?
Hawana akili za kupambana na Wayahudi?
Kuna Irani, Misri, Saudia, Lebanon, Morocco, Tunisia, Falme za Kiarabu, Pakostani, na zinginezo nyingi tu.
Sasa nchi zote hizo zimeshindwa kweli kuungana na kuwasaidia Wapalestina kupigana na Israeli?
Njia pekee iliyopo kwa sasa ya kuleta amani ya kudumu kati ya Israeli na Palestina ni Israel naye kupigwa na kuumizwa kama yeye awaumizavyo Wapalestina.
Lakini kadri uwiano wa mapigo utavyokuwa umeelemea upande mmoja tu, Palestina ataendelea kuteseka sana.
Mkuu umemaliza kila kitu, umenena vyema.Labda hao waislamu wenzao waliwahi kumshauri Palestina asitumie njia ya vita kudai haki yake kwasababu walijua Israel ni mkatili anapoanza kufanya mashambulizi haangalii nani wakumuacha.
Pengine waliona wakiingilia vita hii huo ukatili wa kuua hadi watoto utaamia kwao na ndio kitu ambacho hawakuwa tayari kuona kinatokea.
Pengine hayo mataifa ya waisilamu yaliona ushindi pekee sio kupiga Israel bali kumpiga kabisa na Marekani ambaye amekuwa rafiki wa karibu na anaisapoti Israel.
Mwisho
Palestina walivyoanza mashambulizi hawakupiga wanajeshi peke yake, waliua raia ambao ni un armed ikiwemo watoto wadogo.
Na wakati hili linafanyika mjadala uliokuwa unatrend haukuwa "kwanini Hamas wanaua watoto au raia ambao hawahusiki"
Maneno yaliyokuwa yakizungimzwa kwa wakati huo ni "Hamas ni mashujaa lazima warudishe ardhi yao"
"Mossad wanasifiwa bure tu kuwa na intelijensia kubwa lakini hamna kitu si umeona wameshindwa kuona huu uvamizi"
Dunia inatisha..
How!?Your wrong
Wengi wao ni wanafiki wako attached na west, hususani Saudi, Qatar na UAE. Ukiangalia hao jamaa niliowataja ni marafiki wa marekani kuliko waarabu wenzao, na pengine ni maadui kwa baadhi ya waarabu wenzao. Mf: Saudi dhidi ya Iran.Kwa zaidi ya miaka 70 sasa Waisrael wamekuwa wakiwanyanyasa sana na kuwaua.
Huko Gaza na West Bank, Waisrael wanawaua kila siku.
Gaza huko Waisrael wanadhibiti karibu huduma zote za msingi.
Idadi ya vifo tokea tukio la Oktoba 7 litokee, idadi ya vifo vya Wapalestina inaongezeka kila siku huku idadi ya Waisrael waliokufa haijabadilika.
Kila nikiangalia taarifa za habari za Al Jazeera, nikiona vitoto vya Kipalestina vilivyokufa au vilivyoumia na kutapakaa damu mwili mzima, najawa na simanzi sana.
Nchi zote hizo za Kiislamu na/au Kiarabu zimeshindwa kabisa kuungana na kuwatetea wenzao.
Washirika wa Israel wenyewe hawasiti kumpiga tafu rafiki yao.
Sasa Waislam na Waarabu wanakwama wapi?
Hawana akili za kupambana na Wayahudi?
Kuna Irani, Misri, Saudia, Lebanon, Morocco, Tunisia, Falme za Kiarabu, Pakostani, na zinginezo nyingi tu.
Sasa nchi zote hizo zimeshindwa kweli kuungana na kuwasaidia Wapalestina kupigana na Israeli?
Njia pekee iliyopo kwa sasa ya kuleta amani ya kudumu kati ya Israeli na Palestina ni Israel naye kupigwa na kuumizwa kama yeye awaumizavyo Wapalestina.
Lakini kadri uwiano wa mapigo utavyokuwa umeelemea upande mmoja tu, Palestina ataendelea kuteseka sana.
Kwa hiyo Wazungu na Wayahudi wana akili kuwazidi wavaa ushungi 🤣🤣🤣Kuipiga Israel ni kuipika USA, UK, FRANCE, GERMANY na nchi kibao za Magharibi zenye nguvu,
Tangu tar 7 wamarekani wametuma wanajeshi na vifaa kadhaa Israel + intelligence.
Nchi nyingi za kiarabu ziko na kambi kubwa na USA na zinategemea kununua suraha kwa hao hao.
Asilimia kubwa ya nafasi kubwa na nyeti za uongozi za USA ni zinakaliwa na jews
Mabishara makubwa wengi ni jews, so kifupi kupigana hapa ni uongo.labda wajitoe mhanga kua hawatashinda ila wataiharibu Israel.
Sio suala la dini, ni suala mikakati. Mi sipo kukejeli watu hapa. Usijichekeshe kama malaya mtaka bwanaKwa hiyo Wazungu na Wayahudi wana akili kuwazidi wavaa ushungi 🤣🤣🤣
Sasa nani wa kumdunda? Hata Allah mwenyewe muweza wa yote hana mshirika wanayemtegemea anawaogopa Israeli/wayahudi.Upo sahih suluhu pekee Izrael nae anapaswa kudundwa ili aonje ladha ya maumivu itakayomshawish apunguze ukal
Wanawapelekea tende na maji ili wakishiba wapigane vizuri vita waliyoianzisha?miaka ya 47 walitakiwa waishi kwa amani kama majirani, ila waarabu wakawafunga mota wenzao wasikubali bali wapigane vita kuwamaliza wana wa yakobo, kilochofuata ni vipigo mfululizo, hata walipoingana nchi 6 nao walichezea kichapo na kuzidi kupoteza maeneo, kwahyo walioikataa amani from day 1 na kuchagu vita ni hao waarabu.
na walivyo wanafki wamekataa kuwapokea ndugu zao, wanasema bakini humohumo sie twawaletea maji na tende.
Hata wananchi wenyewe wa kawaida hawapendeni wanachukiana na kuuana tena wakiusna wenyewe kwa wenyewe wanasema Allah AkbarNi sawa kabisa unavyosema, hao Waisrael hawataacha kamwe kuwaonea wapalestina kwa sababu waarabu na waislamu wenzao hawawasaidii.
Tatizo kubwa kwa Waarabu au waislamu ni viongozi wao katika nchi husika kuwa wanafiki; hao viongozi ndio wanaowasaliti umma wa waislamu na waarabu kwa ujumla. Wananchi wa kawaida na waislamu wa kawaida ndio wale unawaona wanaandamana kwa uchungu na kutaka kuwasaidia lakini viongozi hasa wa nchi za waarabu hata kukemea tu hawakemei wanaogopa wataondolewa kwenye nafasi zao. Na sisi wananchi hatumiliki jeshi kwa hivyo anayetoa amri ya vita ni wakuu wa nchi ambao ndio hao wanafiki.
Kwa kifupi viongozi wa nchi za waarabu wengi wao wamewekwa na western countries wakishirikiana na Israel. Na kiongozi yeyote wa nchi za waarabu atakayekwenda kinyume na matakwa ya western watahakikisha ameondolewa. Mfano mzuri ni yule raisi wa Egypt aliyepinduliwa na baadae wakamfunga jela na kumuua kabisa. Kina Saddam Hussein, Gaddafi n.k wote waliondolewa sbb walionekana wana kiherehere.
Na ndio mana Arab countries nyingi hakuna democracy kwa sbb wazungu wanajua wakiweka democracy watakuja viongozi wazuri au siasa kali. Na huwezi kabisa kusikia West wakisema Arab countries hazina democracy; never. Hakuna uchaguzi Saudia na nchi nyingi za kiarabu.
Kwa hivyo viongozi wapenda vyeo vyao na wapenda maisha ya dunia wamewatupa Wapalestina na waislamu kwa sababu ya kulinda maslahi yao tu. Na hawa kwa upande wa dini wanaitwa wanafiki na Mwenyezi Mungu amesema watu wanafiki watakuwa katika tabaka ya chini kabisa katika moto wa Jehanamu.
Ila ipo siku Mwenyezi Mungu ataleta heri. Hata huyo Iran na Hizbollah wanaweza kusaidia mana wao pekee ndio wako front
I hope nimekujibu vizuri