Waarab waishangaa Hamas

Waarab waishangaa Hamas

Status
Not open for further replies.
Hamas ndio kirusi kinachoitafuna Palestina.Ndio maana serikali nyingi za kiarabu zimechoshwa na huu mzozo.ni sababu ya Hamas.Kuna haja gani ya kuichokoza Israel wakati unajua huwezi kulinda raia wako?na wanaujua uwendawazimu wa wayahudi lakini bado wanawachokoza.Jana nilimsikia waziri wa mambo ya nje wa israel akilalamika jinsi pesa za misaada wanazopeleka kuijenga Gaza,zilivyotumika kujengea mahandaki na kununua makombora ya kuwapigia waisrael wenyewe.ndio maana hawataki kufungua njia za uchumi za Gaza chini ya Hamas,itakuwa disaster kwao.akaelezea jinsi jamaa wanavyosafirisha makombora kwa kutumia ambulance na kuzigeuza hospitali kuwa command center.akaeleza jinsi wananchi wa Gaza wanavyotishwa na Hamas kuhama maeneo ambayo israel inatoa matangazo kuwaomba wahame kabla ya kushambulia.wakaonyesha jinsi baadhi ya nyumba zilivyo na mahandaki ya silaha chini na vituo vya kurushia makombora.wakahoji raia wengi wa Gaza wanaonekana kuwa na hofu na kuchukua msimamo wa kati,wengi wakilalamika kupigwa mabomu ilhali hawapendi politics na hawaungi mkono upande wowote.Picha niliyoipata ni kuwa Hamas wanahitaji sana vurugu na ukatili wa waisrael ili kupata support ya wapalestina.ndio maana out of nowhere,utasikia wamerusha roketi tel aviv na kuprovoke vita kama hizi.Hamas anataka kuiprovoke Israel,ipate sifa mbaya,huku akiiua Palestina.blood politics by Hamas.

Ni propaganda tupu hizo, hamna ukweli wowote
 
Sometimes the truth hurts
 

Attachments

  • 1406459446904.jpg
    1406459446904.jpg
    76.1 KB · Views: 105
Ni propaganda tupu hizo, hamna ukweli wowote

Jipe muda kufanya research kwa kila usikiacho mkuu.nakupa mfano tu huko Gaza na West bank,nusu ya umeme wanaotumia unatoka IEC(Israel electric Company) na IEC ina deni la karibia shekeli milioni 600 kutokana na umeme wanaosupply Gaza lakini bado hawajawakatia.Israel na marekani zinasaidia serikali ya Palestina(PA) kwa kiwango kikubwa,direct na kupitia mashirika ya kimataifa.hiyo habari ya civilian homes kutumika kivita mbona zinaonyeshwa al Jazeera,bbc,cnn etc?juu nyumba ya kuishi,chini handaki la silaha na strategic tunnels za kivita.mimi nadhani kama Hamas wataondoa hii dhana ya kutoitambua Israel,basi amani inaweza kurejea moja kwa moja maana hawa watu wataweza kuanzisha mataifa yao au kucoexist.ni wakati wa watu kuirejea historia,vinginevyo hali itakuwa mbaya mno.Hamas watumie hekima.Natazama habari BBC hapa,Hamas walikataa ceasefire iliyotangazwa na Israel kwa truce iliyokuwa proposed na Egypt juzi,wakaendelea kutupia makombora karibu 20 huku Israel ikiwa kimya,leo Israel imeamua kuendeleza mashambulizi na tayari 8 civilians wamekufa,Hamas wanatangaza ceasefire!The only reason why Israel is attacking Gaza is because of these rockets raining from Gaza,kwa nini Hamas inaendeleza vita under this situation?lakini wenyewe wako Qatar,wanaota vitambi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom