Waarab waishangaa Hamas

Waarab waishangaa Hamas

Status
Not open for further replies.
Umezungumza busara na hekma tupu.

Hamas ndio kirusi kinachoitafuna Palestina.Ndio maana serikali nyingi za kiarabu zimechoshwa na huu mzozo.ni sababu ya Hamas.Kuna haja gani ya kuichokoza Israel wakati unajua huwezi kulinda raia wako?na wanaujua uwendawazimu wa wayahudi lakini bado wanawachokoza.Jana nilimsikia waziri wa mambo ya nje wa israel akilalamika jinsi pesa za misaada wanazopeleka kuijenga Gaza,zilivyotumika kujengea mahandaki na kununua makombora ya kuwapigia waisrael wenyewe.ndio maana hawataki kufungua njia za uchumi za Gaza chini ya Hamas,itakuwa disaster kwao.akaelezea jinsi jamaa wanavyosafirisha makombora kwa kutumia ambulance na kuzigeuza hospitali kuwa command center.akaeleza jinsi wananchi wa Gaza wanavyotishwa na Hamas kuhama maeneo ambayo israel inatoa matangazo kuwaomba wahame kabla ya kushambulia.wakaonyesha jinsi baadhi ya nyumba zilivyo na mahandaki ya silaha chini na vituo vya kurushia makombora.wakahoji raia wengi wa Gaza wanaonekana kuwa na hofu na kuchukua msimamo wa kati,wengi wakilalamika kupigwa mabomu ilhali hawapendi politics na hawaungi mkono upande wowote.Picha niliyoipata ni kuwa Hamas wanahitaji sana vurugu na ukatili wa waisrael ili kupata support ya wapalestina.ndio maana out of nowhere,utasikia wamerusha roketi tel aviv na kuprovoke vita kama hizi.Hamas anataka kuiprovoke Israel,ipate sifa mbaya,huku akiiua Palestina.blood politics by Hamas.
 
Watu wa Palestina ni wa kuhurumia na tuwaombee sana wote wa hali zote waislam/wakristo/wayahudi wa Gaza raia wema wasio na hatia ila unafiki wa viongozi wa Hamas nao ni wa kutisha. wanawaweka raia hawa masikini katika hali mbaya hata zaidi.

Hawa ni wamisri wanaooengea hapo not all arab nations has that sense of Hypocrisy...Hakuna waarabu mapunguani kama wamisri...:llama:
 
Last edited by a moderator:
Wewe unajua mzozo huu ulipoanzia au unakurupuka tu. ISRAELI ana ardhi pale wale si walikaribishwa kutoka Ulaya mwaka 1947 umesahau mzee. leo uje udai kwako, ukoloni huo haupo tena. Mimi nasapoti WANYONGE WANAODHULUMIWA HATA KAMA HAWANA SILAHA, IPO SIKU DAMU YAO ITALIPWA. UMESAHAU AFRIKA KUSINI KIPINDI CHA MAKABURU?? JE NANI ALIJUA KAMA ZILE ZAMA ZITAISHA? NI MAPITO TU HAYO, WATAPIGWA LAKINI HAWATOWEZA KUUWA WAPALESTINA WOTE, IPO SIKU DAMU ITALIPWA ILA IKITOKEA WASISHANGAE. KUNA MWANAFASLAFA MMOJA ALISEMA " THE EMPIRE OF A COUNTRY EXIST ONLY ONCE". ROMAN EMPIRE ILIANGAMIA, BRITISH EMPIRE ILIANGAMIA, GERMAN EMPIRE PIA, SPAIN, EGYPT, RUSIA N.K. NA WALIKUFA WATU WENGI KULIKO WANAOULIWA LEO. IPO SIKU USA NA MWANAWE ISRAELI EMPIRE ZITAANGAMIA MATTER OF TIME

Sijui utaona nini kwani hapo ndio mwisho wa dunia,kuiangamiza israel ni kuufikia mwisho
 
Hakuna uhakika na anayosema kiongozi wa Israel especially katika muda wa vita kama hii...vita vinaongozwa na propaganda...hakuna ukweli wowote unaoweza ku uprove hapo...haiingii akilini eti israal inawapa pesa serikali ya Gaza wao wanajenga mahandaki..huu ni uongo mkubwa...haitakaa itokee selikari ya kiyahudi iwatambue wale jamaa after all Hamas kwenye macho ya Israel ni kundi la kigaidi...

RESISTANCE katika kila zama uitwa ugaidi...hapo wakati state of israel inatengenezwa kundi la kiyahudi lililo kuwa ni la resisitance "HAGANNAH" League of Nations walikuwa wakilitambua kama Terrorist Group...

kuna sehemu nyingine tunabidi kuwa Fair...ikiwa nchi nyingi kuna Uasi hawaitwi magaidi, why Hamas? au kwa sababu ni waarabu?

laiti ingeuwa kundi la waasi wa Ukraine ni waislamu ndio waliotungua Ndege leo dunia nzima inagetetemeka..."magaidi oooh magaidi" hata kama wako na motives zao za kisiasa...

watu wengi ni brain washed na wako na highest degree of hypocrisy na ushabiki...lakini PALESTINE NEEDS FREEDOM hata ikiwa watauliwa...kwani hakuna atakayesalia hapaulimwenguni but they need to resist
Hili suala la utunguaji wa ndege wangefanya Hamas ingekuwa balaa humu. Halafu waarabu wenyewe wanaowashangaa Hamas ni Misri, sijui mleta alitarajia nini kutoka kwa Al Sisi!!!
 
One of the greatest misfortune here on earth is to have an enemy that you can not defeat. Mbona lords resistance army ya Joseph konyi imekuwa termed kama terror group nao ni waislam?
 
Hili suala la utunguaji wa ndege wangefanya Hamas ingekuwa balaa humu. Halafu waarabu wenyewe wanaowashangaa Hamas ni Misri, sijui mleta alitarajia nini kutoka kwa Al Sisi!!!

Dunia bila unafiki haiendi...Ukweli wengi tunaujua but we are hypocrates
 
One of the greatest misfortune here on earth is to have an enemy that you can not defeat. Mbona lords resistance army ya Joseph konyi imekuwa termed kama terror group nao ni waislam?

navyoujua mimi linaitwa REBEL group...hayo ya Terror group ndo nasikia kwako.....every Region kuna rebels and wako ARMED...resistance is resistance...kwani usipo resist ndio hali itakuwa mbaya kabisa...keep resisting even if your oppressor kills you...that is the formula of resistance
 
The problem is not you but that which you believe in
 
Hii clip nimeipenda. Thanks Geeky. Mwanangu haya ni makavu laivu kwa hamas na waarab wengine wanaoimba Jihad, jihad huku wanavimba matumbo tu kwa kula. Wangeangalia kamanda Bin Laden alivyo kua, na wao.
 
Wewe unajua mzozo huu ulipoanzia au unakurupuka tu. ISRAELI ana ardhi pale wale si walikaribishwa kutoka Ulaya mwaka 1947 umesahau mzee. leo uje udai kwako, ukoloni huo haupo tena. Mimi nasapoti WANYONGE WANAODHULUMIWA HATA KAMA HAWANA SILAHA, IPO SIKU DAMU YAO ITALIPWA. UMESAHAU AFRIKA KUSINI KIPINDI CHA MAKABURU?? JE NANI ALIJUA KAMA ZILE ZAMA ZITAISHA? NI MAPITO TU HAYO, WATAPIGWA LAKINI HAWATOWEZA KUUWA WAPALESTINA WOTE, IPO SIKU DAMU ITALIPWA ILA IKITOKEA WASISHANGAE. KUNA MWANAFASLAFA MMOJA ALISEMA " THE EMPIRE OF A COUNTRY EXIST ONLY ONCE". ROMAN EMPIRE ILIANGAMIA, BRITISH EMPIRE ILIANGAMIA, GERMAN EMPIRE PIA, SPAIN, EGYPT, RUSIA N.K. NA WALIKUFA WATU WENGI KULIKO WANAOULIWA LEO. IPO SIKU USA NA MWANAWE ISRAELI EMPIRE ZITAANGAMIA MATTER OF TIME

We unakosea kwa kusema kwamba damu italipwa!
Na hicho ndicho wanachokosea hamas na baadhi ya nchi za kiarabu wanafikiria kulipa kisasi badala ya kumaliza mzozo uliopo kwa maridhiano.

Wayahudi wana maeneo yao ambayo yanamipaka ya tangu mababu zao na ushahidi wa makaburi ya mababu zao yapo.
Hii vita ingeisha kama wapalestina wangejikita kujenga uchumi wa watu wao kwenye maeneo wanayokalia wao na yale mengine waishi kwa kuaminiana na wayahudi na sio kujilipua na kuwatisha kwa mbinu za kigaidi hali inayosababisha wayahudi waogope kukaa pamoja na wapalestina.

Umetolea mfano S.Afrika ukasahau kuwa amani na uhuru wa mwafrika umekuja baada ya kusamahe madhambi ya makaburu na kuendelea kuishi nao bila kulipa visasi.Hebu fikiri kama mandela angejaribu kuwaorganise waafika kusini walipe kisasi kwa kuwaua makaburu mwisho wake ungekuwa nini kama sio vita isiyoisha.Wapo wapalestina wengi wanaopenda kuishi vizuri chini ya utawala wowote uwe wa Israel au Palestina lakini hamas hawataki maridhiano wanafikiri watamuangamiza Myahudi na kuchukua ardhi yao. Wanapokosea zaidi ni kutumia dini yao kuimarisha mikakati yao bila kujua kua Israel naye anatumia dini kuishi pale kama nchi yake aliyopewa na mwenyezi Mungu kwa mujibu wa imani yao.

Ni mambo tu ya ubishi lakini hata vitabu vya dini vya wapalestini vinatambua kuwa Wayahudi kila wanapotoka nje ya lile eneo Mungu akilowapa wanarudishwa kwa lazima.

Sio kwamba wayahudi walipenda kutoka ujerumani na ulaya yote kurudi pale lakini Mungu aliwaacha wapate kichapo toka kwa Hitler ili wajiulize kwanini wanafukuzwa na jubaguliwa ,kwani walitoka wapi,huko walikwendaje?
Hivyo hakuna mtu atakayewazuia wayahudi kufikia mipaka yao.

Wayahudi ni watu kama watu wengine ila Mungu mwenye nguvu anataka kuonyesha usahihi wa maandiko na yale aliyoyasema kwa vinywa vya manabii.

Leo hii pasingekua na taifa lenye nguvu la Israel Vitabu vya dini vingekua ni kama tamthilia tu zisizo na ukweli mana vilishaandika kuhusu hilo taifa lililochaguliwa nq kubarikiwa na Mungu lakini likawa na watu wakaidi kupindukia.

Na ule ukaidi ndio unaotimiza maandiko.
Hebu fikiri wayahudi wangekua ni Wafuasi wa Yesu kama alivyoagiza mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na la kushoto.Bila shaka Waarabu wangekua wameshawafutilia mbali na kufanya tujiulize ahadi ya Mungu ya kuwapa Waisrael lile eneo imeshindwa au utatimizwa lini.!!

Mambo yamashariki ya kati ni mepesi ukiamua kutupilia mbali dini za ukristo ,Uyahudi na Uislam. Lakini ukiziamini basi yanayotokea hayana budi kutokea mpaka Masihi atakaporudi kutawala kwa haki.
 
tena utakuta ana madevu,kichwan elimu darasa la pili
halafu eti anaichambua palesitina hata hajui ipo bara gan
wakitoka gizani ndo watajutia ujinga wanaoutapika

Me hoiiiiii wao et hawana elimu ila wana ilmu ha ha ha ha.

Usicheze na swaumu alaf kwambaali unasikia arufu ya wali,kwabini asiropoke.
 
Concern yangu ni jinsi Hamas wanavyo-handle mgogoro huu.Njia wanazotumia zinawaumiza Wapalestina wanaodai kuwatetea na kuwarutubisha waisrael wanaodai kuwapinga.Unapoanzisha vita na mtu ambaye unajua akijibu mapigo anakupa hasara kubwa zaidi ya ile aliyokusababishia mwanzo,then hiyo vita unaanzisha ya nini?hakuna njia nyingine unaweza kutumia kudai haki zako?mbona wametumia mazungumzo hadi leo UN imewasikia na kuna mipango ya kuanzisha taifa la Palestina na Israel pamoja na kupinga lakini wameshindwa kuzuia maamuzi hayo ya dunia?lakini Hamas wanavyotengeneza insecurity eneo lile ndivyo wanavyoipa Israel grounds za kupinga taifa la Palestina kwa kisingizio cha usalama na kama Hamas wataendelea na uwendawazimu huu,kuna siku dunia itakosa hoja za kuipendelea Palestina kama wafanyavyo sasa na ndipo muisrael "ataibikiri" Palestine kama yeye alivyobikiriwa na Jenerali Titus wa warumi mwaka 70 A.D.Vita si njia nzuri ya kutatua mgogoro dhidi ya adui uliyeshindwa kumdhibiti kivita kwa miongo kibao.Wapalestina wawaulize wayahudi yaliyowakuta miaka ya zamani.Wayahudi walikuwa wakipinga uvamizi na ukandamizaji wa Warumi,wakaanzisha revolts mara kwa mara,vita nyingi zikawa zinaisha huku zikiacha makovu zaidi kwa wayahudi na mwishowe jenerali Titus aliipiga Yerusalem na kuangamiza mji wote na hekalu la pili la Suleiman,wayahudi wakafukuzwa na kuwa uprooted from their land,Israel ikapotea kwenye ramani ya dunia hadi pale waingereza walipoamua kurudisha kakipande kadogo na kuwajaza waisrael hapo.waisrael wakaanza kujitanua kwa kununua ardhi toka kwa wenyeji wapya waliowakuta hapo.wakajiimarisha na uchumi wao ukawavutia wapalestina na watu wengi from Egypt kwenda kufanya kazi Israel.wakaishi kwa amani hadi pale some powerful arab nuts from neighboring countries kama akina Haj Amin al-Husseini from Syria(ana asili ya kipalestina) walipoona the rise of Israel kama tishio kwa ustaarabu na ustawi wao,wakaamua kuanzisha movements against Israel,huku wakiwatia sumu wapalestina,na balaa likaanzia hapo,na vita nyingi zimepiganwa mojawapo ikiwa ile ambayo Israel iliteka maeneo mengi ya Palestine huko west bank.Wayahudi nao wakaanzisha Haganah,zikapigwa vita hadi leo ni machafuko lakini kadri siku ziendavyo,vita hizi zimekuwa mzigo mzito kwa Palestina.Wapalestina wanarudia kosa walilolifanya jews thousands of years ago dhidi ya powerful Roman empire,wakapotezwa na leo wamerudi pale wakiwa na elimu nzuri kichwani on how to deal with migogoro ya aina hii,wamejipanga,jewish diaspora ikifanya kazi worldwide.Kwa muktadha huu,sidhani kama approach ya kivita ya Hamas,ina chembe ya busara hata kidogo.Palestine inahitaji ujanja na hekima kuliko nguvu ili kuendelea kuwepo sambamba na Israel.
 
Hauna sababu ya kuwapinga wao kwa sababu ni wamisri...pinga hoja zao kwa hoja !

Je, walichozungumza ni uongo ? Jibu hoja zao kama unaweza !

Hawa ni wamisri wanaooengea hapo not all arab nations has that sense of Hypocrisy...Hakuna waarabu mapunguani kama wamisri...:llama:
 
Hakuna uhakika na anayosema kiongozi wa Israel especially katika muda wa vita kama hii...vita vinaongozwa na propaganda...hakuna ukweli wowote unaoweza ku uprove hapo...haiingii akilini eti israal inawapa pesa serikali ya Gaza wao wanajenga mahandaki..huu ni uongo mkubwa...haitakaa itokee selikari ya kiyahudi iwatambue wale jamaa after all Hamas kwenye macho ya Israel ni kundi la kigaidi...

RESISTANCE katika kila zama uitwa ugaidi...hapo wakati state of israel inatengenezwa kundi la kiyahudi lililo kuwa ni la resisitance "HAGANNAH" League of Nations walikuwa wakilitambua kama Terrorist Group...

kuna sehemu nyingine tunabidi kuwa Fair...ikiwa nchi nyingi kuna Uasi hawaitwi magaidi, why Hamas? au kwa sababu ni waarabu?

laiti ingeuwa kundi la waasi wa Ukraine ni waislamu ndio waliotungua Ndege leo dunia nzima inagetetemeka..."magaidi oooh magaidi" hata kama wako na motives zao za kisiasa...

watu wengi ni brain washed na wako na highest degree of hypocrisy na ushabiki...lakini PALESTINE NEEDS FREEDOM hata ikiwa watauliwa...kwani hakuna atakayesalia hapaulimwenguni but they need to resist

Mkuu fanya research.Israel ina msaada Gaza.mambo mengine hatuwezi kuyaandika humu muda hautoshi.we nenda kachunguze.tena Geeky amekupa dondoo kidogo kwenye hiyo clip ya madai 10 ya Hamas.utaelewa kidogo kinachoendelea Gaza.Israel haiwajibiki kwa Hamas,inawajibika kwa wananchi wa Gaza.na hii ni mojawapo ya ugomvi uliopo,kwamba Israel haitaki Hamas iwe na nguvu Gaza,maana picha haziendi.
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha sana watoto na wanawake wanakufa bila hatia mtoto wa miaka miwil hajui lolote maskin wanauwawa mi najiuliza kwa nin Hamas wasiwaache hawa wayahudi? Wanarusha maroket wakat wanajua hawawawez! Sometimes Israel inalaumiwa bure hv kama anarushiwa maroket tunategemea afanye nin ka si kujibu? Halafu mbona mataifa makubwa yamekaa kimya nin maana yake? Hii siyo vita ya kiiman ndiyo mana Nyerere mkatolic Mandele walipinga ubabe wa Israel lakin ni ukweli usiopingika huwez tenganisha imani ya kikristo na taifa hili! GOD BLESS ISRAEL AMEEEN! Biblia yangu inaniambia kuna wakat flan majesh ya sham maelfu kwa maelfu waliwazingira waisrael waliokua wachache lakin jeshi la Mbinguni(Malaika )lilishuka likawaangamiza washam wote! Siku Hamasi wakiwashinda hawa bas mjue ndo mwisho wa Dunia!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom