Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Waandishiwa habari wameshangaa kutokuchukuliwa hatua kwa wafuasi wa Lipumba walivyowapiga na kujeruhi kisha wenyewe kukiri jana wamehusika na vurugu hizo lakini waziri wa habari amekaa kimya na jeshi la polisi pia limeshindwa kuwachukulia hatua watu hao badala yake mhanga wa tukio hilo amabaye ni mwenyekiti wa CUF wilaya amegeuziwa kibano na kupewa kesi ya vurugu