Mmmmmmmm!! Dont reckon there is any reasonable Great Thinking in this..........!!!!!
1. Uhuru wa habari maana yake ni mtu kuandika habari za mtu binafsi?,....tafakari kama ni kwa njia huru kw vyombo vya habari....??
.
2. Uhuru wa habari unapoona akaunti za watu zimeandikwa?..........tafakari kama ni kwa njia huru kwa vyombo vya habari....??
3. Uhuru wa habari ni kuandika habari za Ikulu? Je unajua hizo habari zinapatikana vipi,....tafakari kama ni kwa njia huru kwa vyombo vya habari....??
4. Je, kipimo cha uhuru wa vyombo vya habari ni pale vinapoandika habari za ikulu, usalama wa taifa, akaunti za watu, watu binafsi?......tafakari kama ni kwa njia huru kwa vyombo vya habari......??
5. Je, kwa mjibu wako, uhuru kwa vyombo vya habari umekuwepo mkubwa na wa kupitiliza kwa hiyo magazeti yafungiwe kama adhabu ya kuukiuka huo uhuru na waandishi wanaouawa ni wale waliokiuka huo uhuru? Na jukumu hilo la kutekeleza hiyo hukumu liko mikononi mwa polisi wanpokuwa mitaani kwa kutumia risasi na mabomu?
6. Mwisho naomba unisaidie takwimu zinazoonyesha kwamba Tanzania kuna uhuru wa vyombo vya habari uliopitiliza kuliko nchi nyingine duniani. Nitakushukuru kwa hilo.
Ushauri:- Gharika imefika, hata wewe umo ndani ya chombo, endeleen kutumia RISASI na MIZINGA lakini kumbuka hakuna risasi au silaha iliyo imara zaidi ya mabadiliko ya kifikra na kimtazamo katika jamii - Hii imeshinda zote na haijawahi kuangushwa, kumbuka wakati wa Hittler, kumbuka
Apartheid system ya SA, kumbuka utumwa wa babu zetu kwa vipigo na minyororo, kumbuka...kumbuka...kumbuka....kumbuka....mtatuua wachache, wengi watashinda, mkiuua mmoja wanazaliwa mia moja. Hata bila vyombo vya habari tayari dhoruba imesha chafua bahari na chombo chako kimekwisha toboka sharti maji yakizamishe na hatukubali kuzama, zameni peke yenu, TUTAPAMBANA....
Nasikitishwa sana na mfumo wa waandishi wa habari wa tanzania kwa vitendo vyao viovu vya kupiga makelele kudai uhuru wa kupata na kutoa habari, swali nauliza ni uhuru gani mnaodai zaidi ya huu mlionao??
Nauliza hivyo kwa sababu waandishi wa habari wa tanzania wapo huru kuandika habari kuliko nchi zote duniani, nasema hivyo nnayo sababu, maana tanzania kwenye magazeti wanaandika hadi habari za ikulu, usalama wa taifa, za watu binafsi, akaunti za watu mwasasiliano binafsi ya watu siri za serikali kwenye magazeti yao ambavyo ni kinyume na maadili ya uandishi wa habari,
imefikia mpaka mtu anaandika habari yoyote kwa maslahi anayoyajua yeye mwenyewe bila kuangalia madhara yake kwa jamii. Mjitafakuri kwanza na mjipime.