huduma za afya zitaboreshwa,lingine?
Mtoto amefariki hospitali hakuna oxygen ambayo ingeokoa maisha yake, bora kugoma nikae nyumbani kuliko kwenda kuangalia wagonjwa wakifa sina namna ya kuwasaidia, nilikuwa sijagoma ila kwa hili Leo nimeanza mgomo rasmi
dogo ulishaambaiwa na wenzako, acha ushoga!! ona sasa...Hivi nyinyi watoto mgomo unawanufaishaje?
Mtoto amefariki hospitali hakuna oxygen ambayo ingeokoa maisha yake, bora kugoma nikae nyumbani kuliko kwenda kuangalia wagonjwa wakifa sina namna ya kuwasaidia, nilikuwa sijagoma ila kwa hili Leo nimeanza mgomo rasmi
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.
Leo hii, manersi wa Kenya wamegoma. Tanzania wamegoma madaktari mpaka wa Cancer. Lakini ukisikiliza BBC, ni coverage ya Kenya tu. Inanifanya niamini kuwa waandishi wao DSM wamehongwa kulificha hili suala, au wameahidiwa kitu kwa utumishi wao kwa CCM
dogo ulishaambaiwa na wenzako, acha ushoga!! ona sasa...
Inasikitisha jinsi waandishi wa BBC wanavyoacha ku-cover suala la mgomo wa madaktari. Vile vile, inasikitisha jinsi wanavyotumika kutangaza ushinda wa CCM hata kabla ya uchaguzi kufanyika.
Leo hii, manersi wa Kenya wamegoma. Tanzania wamegoma madaktari mpaka wa Cancer. Lakini ukisikiliza BBC, ni coverage ya Kenya tu. Inanifanya niamini kuwa waandishi wao DSM wamehongwa kulificha hili suala, au wameahidiwa kitu kwa utumishi wao kwa CCM
Hivi nyinyi watoto mgomo unawanufaishaje?