Waandishi rekebisheni hii!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,773
Habarini wana JF, hivi ni lazima kwa waandishi wa habari munapoeleza habari za watu waliobahatika kupata madaraka serikalini kuwaita waheshimiwa? Ninavyofikiri mimi ni bora tuwaite waheshimiwa baada ya muda wao wa uongozi kuishi tena ionekane wazi kuwa wamefanya jambo ambalo wanastahili kuitwa waheshimiwa. Sio Kikwete ameteua mbunge leo kesho anaitwa muheshimiwa, kwa lipi? Hata Fisadi naye ni muheshimiwa, anaheshimiwa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…