Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,387
Waandishi gani unawazungumzia? kina Kubenea? IPP, Mtanzania? Uhuru? Tanzania hakuna waandishi wa habari sijui hivyo vyuo vinafundisha nini. Mkurugenzi wa TAKUKURU alipomaliza mazungumzo na waandishi wa habari aliwauliza kama kuna maswali, majibu unayajua mwenyewe.Waandishi na Wahariri sasa muimulike hii kampuni na atakaejitokeza kuwaziba midomo na nyini mmnyime front pages katika magazetu yenu.
Ifike mahali mbadikike na muwe na msimamo sio wao kila siku kuwasetia agenda na kuwapa coverage tena kishabiki.
Na nyie muwapige ban kama Bashite.Tutajaribu kufanya hivyo ila wenzetu mawio wameshapigwa ban
Haki ni baada ya kifo tu, huku kwingine tutasubiri sana. La sivyo tupangue safu nzima serikalin tuajiri watu wa milembe, hapo ndipo paradiso itageuka kuwa jehanam.
Magu amesema tuwaache wastaafu wapumzike.
Mkuu SIMBA TRUST nayo ni mstaafu?
Magu amesema tuwaache wastaafu wapumzike.
Yani jana ndo nilishangaa sana... mtu mpaka anabembeleza kuulizwa maswali watu wamenyamaza. Ni tatizo la kuwa na waandishi wasiofatilia mambo ya kitaifa!!!Waandishi gani unawazungumzia? kina Kubenea? IPP, Mtanzania? Uhuru? Tanzania hakuna waandishi wa habari sijui hivyo vyuo vinafundisha nini. Mkurugenzi wa TAKUKURU alipomaliza mazungumzo na waandishi wa habari aliwauliza kama kuna maswali, majibu unayajua mwenyewe.
Hili ombi unalowapa waandishi wa habari utapata udaku na majungu na hear say hakuna waandishi wa habari kama vile tusivyo na wanasheria wazuri serikalini. Hii ni lana mmoja ya taifa letu. Yule mkurugenzi kama angetoa ile taarifa hata Kenya angeomba akimbie maana mafuriko ya mswali yangemfanya akose mpaka majibu ya maswali.
ha ha ha haYani jana ndo nilishangaa sana... mtu mpaka anabembeleza kuulizwa maswali watu wamenyamaza. Ni tatizo la kuwa na waandishi wasiofatilia mambo ya kitaifa!!!
Ingekuwa press ya Diamond au Wema ingechukua zaidi ya lisaa, wasingekosa maswali ya kuuliza!!!
sasa mbona unaandika ba ku comment kitu ambacho hukijui? Wakati mwingine ondoeni hizo emotions zenu katika masuala muhimu msiwe kama mnaendeshwa.Simba trust ni nini?
sasa mbona unaandika ba ku comment kitu ambacho hukijui? Wakati mwingine ondoeni hizo emotions zenu katika masuala muhimu msiwe kama mnaendeshwa.