Waandishi mmefikia hatua ya kudhalilishwa kiasi hiki?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Kumbe ndio maana tasnia hii inadharaulika kila mahali, sio hapa DSM, Arusha au Mwanza.

Mnafikia mahali mnatupiwa noti kama mbwa anavyotupiwa makombo na mnagombania kiasi cha kuvunjiana kamera zenu na tape recorders?

Yaani hawa wasanii uchwara ndio wa kuvunja heshima zenu kiwango hicho?

Ndio maana mnaweza kununulika kiasi cha kuandika au kutoandika atakacho mtoa pesa.

Ukienda kama kule Mwanza unakuta waandishi wamebakia kupigana majungu kiasi hata wenyewe hawaelewani kisa kugombea mshiko.

Jibadilisheni muheshimiwe!

Leo nimesikitishwa sana kwa na kitendo cha aibu cha msanii Irene Uwoya kugawa rushwa ya fedha kwa wanabahari mbele ya kamera.

Uwoya amefanya hivyo mbele ya camera kitendo kinachodhalilisha sana taaluma ya habari.

Lakini pia, sijathibitisha, naambiwa aibu nyingine ya mwaka ni kuwa wapo wanahabari waliopigana vikumbo kugombania fedha hizo alizokuwa akizigawa kwa mtindo wa pedeshee wa kike.

Kama hili la pili ni kweli basi, historia leo imeandikwa, hatuna waandishi nchi hii bali tuna wasanii katika tasnia ya habari.

Hapa ndio unajiuliza watetea taaluma ya habari kama hata ile Idara ya MAELEZO, Jukwaa na wahariri na MCT wako wapi?

Hawa waandishi wakemewe na au hatua zichukuliwe dhidi yao.
 
Kumbe ndio maana tasnia hii inadharaulika kila mahali, sio hapa DSM, Arusha au Mwanza.
Mnafikia mahali mnatupiwa noti kama mbwa anavyotupiwa makombo na mnagombania kiasi cha kuvunjiana kamera zenu na tape recorders?
Yaani hawa wasanii uchwara ndio wa kuvunja heshima zenu kiwango hicho?
Ndio maana mnaweza kununulika kiasi cha kuandika au kutoandika atakacho mtoa pesa.
Ukienda kama kule Mwanza unakuta waandishi wamebakia kupigana majungu kiasi hata wenyewe hawaelewani kisa kugombea mshiko.
Jibadilisheni muheshimiwe!
View attachment 1154274

Ndio uwezo wao ulipoishia. What do you expect?
 
Aisee hiyo ni dharau kwa waandishi wa habari
 
Mnaweza kusema au kulaumu kuwa Irene Uwoya amewadhalilisha hao Waandishi wa Habari kwa Kitendo alichokifanya ila nadhani kama kuna wana Tasnia ambao wanatakiwa Kuombewa mno na Viongozi wa Dini Tanzania basi ni ya Habari nchini Tanzania. Wana mapungufu mengi ya Kitaaluma na hadi Kiuweledi na hawajaanza Kudharauliwa leo na ni Vitendo vyao ndiyo wanawalazimisha Watu wawadharau kila kukicha.
 
Back
Top Bottom