Waandishi kutompiga picha Ali Hadaiwi!!!

Waandishi kutompiga picha Ali Hadaiwi!!!

boybsema

Senior Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
124
Reaction score
14
Ndg, JF, habari kutoka kwenye source moja ambayo siyo rasmi inadai kwamba jamaa walipofika kwenye ukumbi walipokutana na Mwekezaji waligaiwa bahasha kila mmoja mlangoni. Najiuliza ni kweli au la??? pili, hata hawa jamaa wa BBC, CNN, AL jazeera, RFI, VOA, what the shame?
Wenye habari za kuaminika watujuze humu ndani wandg!!!
Na je? WaTZ walipigwa changa la macho kuhusu huyu jamaa au? Why, envelope? what was enclosed, an entelope? lion?
Nawakilisha!
 
Mkuu, ndo unaamka leo baada ya kupata usingizi mzito kwa masiku kadhaa?
 
M. Njia, siyo usingizi, ila inasikitisha sana................hili li-nchi Bwn!!!
 
Wapo baadhi ya waandishi wa habari huwa wanaenda maofisini kwa 'watu flani flani' kuchukua mshiko kila baada ya muda flani(kama mshahara vile) kwa ajili ya kumwandika na kumtangaza vizuri.
So hilo la Al hadawi silishangai hata kidogo.
 
Back
Top Bottom