Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wakati Bill Clinton, Bush mkubwa/mdogo na Obama wanabomoa Iraki, Somalia, Yemeni, Sudani, Libya, Syria n.k. hawa wanaondamana leo hii walikuwa wapi? Kwa nini hawakuitumia hii nguvu wanaoitumia leo hii kupinga kubomolewa kwa nchi ya Libya ambayo ndiyo iliyosababisha refugee crisis?
Kweli Dunia haishi unafiki, leo hii Mzungu yuko tayari kuibomoa USA kwa sababu Wakimbizi (baadhi) wamezuiwa kuingia USA tena kwa muda siku 90 tu?
Adui ya Mzungu ni Mzungu mwenyewe!
Syria kabla na baada ya Vita, Vita ambayo hakuna Mzungu aliyeandamana kuipinga!