Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,279
- 13,708
Nimesikiliza mijadala ya Waandaji wa maandamanonya Gen Z katika Tiktok na X wanagombana sana wanalaumiana kwa kuleta ujuaji na Usaliti ndiyo maana maandamano leo yamedoda kuna master Plan wamekasirika wamewaachia vilaza ambao wameendesha maandamano yao katika mitandao ya kijamii katika no platform kama JF, X Tiktok na Insta
Awali iliielezwa kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimetanda kila kona lakini imekuja kujulikana kuna misunderstanding kati ya waaandaji wakituhumiana kudhulumiana migao ya Fedha kutoka kwa mabeberu waliofadhili jambo hilo.