Waambie wanikumbuke

Waambie wanikumbuke

vitus juma

Member
Joined
May 20, 2015
Posts
98
Reaction score
43
Ndugu zangu,

Tangu nizaliwe sijawahi muona mjomba wangu mzazi na shangazi yangu mzazi, naskia wako Dar na wanaishi maisha mazuri. Mi nipo huku Tandahimba, naomba mwenye taarifa zao anijulishe, wapo Dar sehemu gani?
 
Inamaana wewe husikilizi vyombo vya habari!?, Dar hakuna Mjomba wala Shangazi bali kuna Ma-Baby tu!. Mjomba na Shangazi kawatafute mikoa mingine
 
Back
Top Bottom