waambie dada zenu...

waambie dada zenu...

Nilikutumia salam, sema tulikuwa bize na marekebisho ya sistimu ya mfumo wa mtandao kwenye netweki... Kifupi ni kuwa alisema anakusudia kufunga ndoa rasmi na DEMBA wiki hii. Ameomba upunguze kum bip bip, Pm na mizinga ya hapa na pale kama ulivyozoea. Ni hayo tu......
Baba V naomba utoe kalipio kali juu ya hawa watu. pacha wangu anataka kunipindua
 
Last edited by a moderator:
Watu wengine bana.
Unakuta ukweni anajistiri vizuri tu ila kwa Mungu ndo anachafua hali ya hewa!!!
 
Baba V naomba utoe kalipio kali juu ya hawa watu. pacha wangu anataka kunipindua

Fight for your pipi... haha.. kama wamekuzidi kukata mauno mie niingilie kati...!? si ntaonekana mkorofi, afterall hamjafunga ndoa bado
 
Last edited by a moderator:
Nini maana ya majaribu? Au nyie mmeamua kufanya kazi ya shetani kuwajaribu wachaMUNGU? Kumbukeni afanyae kazi ya shetani, naye ni shetani.

Basi shetani wa kwanza katika hili niyule anayeacha kufuatilia ibada nakuanza kupepesa macho hovyo......Majaribu ni mtaji
 
Back
Top Bottom