waambie dada zenu...

waambie dada zenu...

Nilikutumia salam, sema tulikuwa bize na marekebisho ya sistimu ya mfumo wa mtandao kwenye netweki... Kifupi ni kuwa alisema anakusudia kufunga ndoa rasmi na DEMBA wiki hii. Ameomba upunguze kum bip bip, Pm na mizinga ya hapa na pale kama ulivyozoea. Ni hayo tu......

DEMBA ni pacha wangu kwahiyo kaz ndogo ndogo huwa namsaidia endapo amesafir au amechoka......kikosi cha mizinga kipo pale pale!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hehehe! Loh!! Pole mwaya! Nawewe unawaangaliaga vya nini? C uconcentrate kwenye maubili na sala! Ebooh!! Cpati picha unavyokodoaga mimacho! Btw-baadhi ya makanisa nowdays wameweka sheria juu y mavazi ya kanisani now kumetulia cjui wewe kanisa lako huko!!
 
Huku kanisani kwetu ukivaa kihunihuni mapaja nje lazima utolewe nje ya kanisa, nimeupenda huu utaratibu maana kuna wadada wanatia aibu jamani , hawajui kusitili miili yao eti fasheni, fashion kitu gani unajidhalilisha tu mwanamke thamini mwili wako ni wagharama ujue, sio unajiachiaachia tu kama popo phweeeeeeeew!
 
makanisani hakuna upande wa wanawake na wanaume. Labda kwenu. Kuhusu hzo nguo kwa kweli znakera, askudanganye mtu eti ukizama kwenye maombi hutomuona ama hutajali, hayo ni maneno ya kujifariji tu..ukiona hata uwe nani lazima urudishe jcho mara ya pili na pengne kuendelea huku ukijdai unatukana na kulaani.....askwambie mtu, Usidhubutu kukutwa...
 
....unataka wavae madera na baibuiiii....ofisini yanapigwa marufuku, mtaani atajionesha saa ngapi...ibadani ndiko adhaniako...ukute anaposali wanacheza kwaito/ruka rukaaaa...full kujiachia

kama wanaona kujisitili ni kazi waende wakasali club!
 
kama umeenda kwa nia ya kusali hata uone chuchu hutastuka!!!!!
kwa msaada wa mungu mtayashinda ya dunia.......
 
Unaonekana hujui kinachokupeleka kanisani.....simaanishi watu waendelee kuvaa hivyo ulivyoviona bali ishinde tamaa na umshinde shetani.Aliyesimama katika neno hata uvae ushuzi gan wala hatikisiki

Nini maana ya majaribu? Au nyie mmeamua kufanya kazi ya shetani kuwajaribu wachaMUNGU? Kumbukeni afanyae kazi ya shetani, naye ni shetani.
 
unaonekana hujui kinachokupeleka kanisani.....simaanishi watu waendelee kuvaa hivyo ulivyoviona bali ishinde tamaa na umshinde shetani.aliyesimama katika neno hata uvae ushuzi gan wala hatikisiki
wrong...dig enough kwenye bible ama msaafu hata picha za yesu huoni mavazi yaliyokua yakivaliwa kuingia hekaluni? Hata wanaume pia walikua wakivaa kilemba kichwani wakati wa kusoma maandiko!
 
kama umeenda kwa nia ya kusali hata uone chuchu hutastuka!!!!!
Kwa msaada wa mungu mtayashinda ya dunia.......
acheni unafiki enyi wanawake mi nikija nikakaa nawe halafu natoa mashine nachezeachezea utaendelea vizuri na ibada yako. Hata simaanishi kwamba utaitaka bali itakusumbua kwa njia moja ama nyingine.
Halafu hicho unachokisema hakipo. Inaonekana umesikiaga tu.....
 
wewe mwenyewe inaonyesha unaenda kanisani kwa mazoea tu, au kama sheria vile, hujui kinachokupeleka kanisani, ungekuwa unajua usingekuwa na mda wa kupoteza kuangalia fulani kaingia amevaa nini, huyo unaemsema kavaa vibaya lakini mwenzio anajua kilichompeleka anasikiliza neno wewe unaangalia mavazi,
 
acheni unafiki enyi wanawake mi nikija nikakaa nawe halafu natoa mashine nachezeachezea utaendelea vizuri na ibada yako. Hata simaanishi kwamba utaitaka bali itakusumbua kwa njia moja ama nyingine.
Halafu hicho unachokisema hakipo. Inaonekana umesikiaga tu.....

that is what i think,,,,,, na kama nimesikia we inakupa shida gani????
 
hujaenda kusali wewe

Ukiwa umezama kwenye maombi

Roho yako imejikita kumwomba Mungu

Hata akae bila nguo hutomwona na ukimwona utamwombea Mungu amguse abadilike


Ila ukienda kanisani macho juu juu kuangalia fashio za nywele na mashati hata gunio utaona ni transparent

Hapa tusiongelee matamanio! Tuangalie kupoteza concentration katika sala au ibada! Mathalani niko kwenye maombi kwa ajili ya familia yangu, then anatokea mdada anaonesha maungo yake means ntashift kwenye hitaji langu la awali na nianze kukemea dada alie mapaja waz na kumuomba Mungu ambadilishe! Huo ni usumbufu usio wa lazima!

Pia nadhani kama unapitia Biblia kuna habari ya Yusufu! Mke wa mfalme alipokuwa anamtaka kingono hakukataza kukemea ili aishinde dhambi bali alikimbia! Na ndio maana tunaambiwa tuikimbie zinaa si mambo ya kukemea. Udhaifu wetu ndio uko hapa na hatari sana kwa kweli.

Pia wadada kuvaa viatu vya mchongoko wanatutoa kwenye concentration katikati ya sala unaskia kokoko zinalia sio vizuri kabisa.

Mbadilike kina dada!
 
jamani hebu someni vitabu vya dini hasa biblia na quran hapo ndio mtajuwa ukweli ipi dini ya kufata, ukweli uko wazi kabisa kwa mtu muelewa
 
Huwezi kwenda kanisani bila kuusitiri mwili wako ipasavyo, jamani tumwogopeni Mungu. Kanisani sio sehem ya fashion show ati!

Kumbuka huko kanisani kuna activities nyingi, kupiga magoti kusali, kuimba (wale wanao dance ), kukaa mchanganyiko wanaume na wanawake. Shetani anaweza kuiteka akili ya mtu hata huko chechi.

Hapa ndo napowapendea waislam, hamna kukaa pamoja, full stop!
 
Hv wew ni jinsia ya kiume kwel Wewe.ukiona upaja nliouona utaduwaa mwenyewe..nliyemuona mm co gumegume ni mshombeshombe.


mi nakubaliana na ww bana, ni kweli hata kama uko kwenye ibada nafsi inaweza shawishika ukajikuta unahamisha mawazo na kupata dhambi bure..ndio mana uislamu umelazimisha wanawake wajifunike bana, Mungu anajua udhaifu wa wanaume uko wapi, yeye ndiye aliyewaumba, na watu wasikakatae ukweli uvaaji wa nguo fupi na za kubana ndio chanzo kikubwa cha maasi ya ngono..fullstop
 
Back
Top Bottom