ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 615
- 669
poleni na kazi!!! wife kasafiri yupo nje ya nchi kimasoma kama mwezi wa kumi huu....mzee mzima nimekabwa na maugwadu.....kuna demu wangu mmoja nilikuwa napozeapozea nae kasafiri yupo mkoa, sasa katika pitapita yangu kwenye mindao ya kijamii nikakutana na mtoto mmoja anasoma Udom....mtoto mzuri anajua kudeka ana call kila night tunapigastory...anamaneno ya kimahaba si mchezo nikaona hapa kijana nimeopoa....tukatumia skyp mtoto nikamuona live...alivyomzuri, akaniambie beib nataka nije dar tugegedane..... nikasema haina shida nauli shil ngap...akasema 18000/= nikamwambia poa ntakupa 40000 na emegency.......akasema ntakuja jmos then ntaondoka j3 asubh maana sina vipindi....nilivyotuma tu ile hela ndio ukawa mwisho wa mawasiliano.....nikajiona mburulaaa.....naapa sirudiii....naona niwaambie yasijeyakawakuta......