Waalimu wanahitajika haraka.

Waalimu wanahitajika haraka.

lyahanze

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
43
Reaction score
4
Kwa wale wote waliosoma education na kuchukua masomo ya language. Na wanaojua kuongea kingereza vizuri. Ambao wako tayari kwenda kufundisha china kwa mshahara mzuri..wapige no hii 0757-432597 kwa ajili ya maelekezo ya kutuma cv zao. Deadline tar 20/08/2015
 
Uchina huko daah
 
Matapeli. Wengi yameshawatokea. Wachina kamwe hawatachukua walimu wa Kiingereza kutoka kwetu. Sisi wenyewe tuna accent kibao. Uchina, South Korea, Japan na nchi nyingine hupenda kuchukua walimu Wa Kiingereza kutoka Ulaya na America kwenyewe. Isitoshe huhitaji middle man bali unakwenda kwenye website zao mwenyewe unaomba.

Ili kuepuka kutapeliwa waombaji wote nendeni kwenye ubalozi wa China mkaulizie habari hizi kama ni kweli na maelekezo yote mtayapata hapo. Otherwise mtatajirisha matapeli tu!
 
Umenena vema mkuu,kitu kama iko nimewahi kusikia!thumb up!
 
Mimi huwa nasaidia vijana kupata kazi za kufundisha Kiswahili USA na nchi nyingine za Africa. Kazi yangu ni kuwapa links tu ambako hizo nafasi zimetangazwa na kuwasaidia jinsi ya kuandika application zao na kuhakikisha kuwa zimekamilika na wana vyeti vyote vinavyotakiwa. Kazi yangu imekuwa imekwisha na wanaomba wenyewe moja kwa moja. Sasa haya mambo ya middleman sijui umpelekee CV huo ni utapeli na watu hawa hawatakusaidia chochote na ukishawalipa pesa basi huwasikii tena.
 
Unapong'atwa na nyoka kila uguswapo na nyasi lazima urushe mguu...stashangaa..kwa yeyote ambaye hana negative thinking juu ya hii taarifa atumie hyo contact ya sm then atajiridhisha kwa maswali yote ambayo yataclear doubt zote j ya matapeli...
kwahyo watu wasishikiwe akili n mtu ambaye amewahi tapeliwa.....maekekezo yote utayapata kwenye hyo namba km suala la ubaloz na uthibitisho wowote utapewa...
 
Mimi huwa nasaidia vijana kupata kazi za kufundisha Kiswahili USA na nchi nyingine za Africa. Kazi yangu ni kuwapa links tu ambako hizo nafasi zimetangazwa na kuwasaidia jinsi ya kuandika application zao na kuhakikisha kuwa zimekamilika na wana vyeti vyote vinavyotakiwa. Kazi yangu imekuwa imekwisha na wanaomba wenyewe moja kwa moja. Sasa haya mambo ya middleman sijui umpelekee CV huo ni utapeli na watu hawa hawatakusaidia chochote na ukishawalipa pesa basi huwasikii tena.

Gud..mtu yeyote mwenye kujitambua hawezi lipa pesa yeyote mtandaoni pasipo kujiridhisha n taarifa utakazopewa...fanya hayo mawasiliano then km utahisi kuna ujanja basi ignore it..kwahyo usiconclude utapeli na silazma watu wote watumie njia unayotumia wewe...
 
Matapeli. Wengi yameshawatokea. Wachina kamwe hawatachukua walimu wa Kiingereza kutoka kwetu. Sisi wenyewe tuna accent kibao. Uchina, South Korea, Japan na nchi nyingine hupenda kuchukua walimu Wa Kiingereza kutoka Ulaya na America kwenyewe. Isitoshe huhitaji middle man bali unakwenda kwenye website zao mwenyewe unaomba.

Ili kuepuka kutapeliwa waombaji wote nendeni kwenye ubalozi wa China mkaulizie habari hizi kama ni kweli na maelekezo yote mtayapata hapo. Otherwise mtatajirisha matapeli tu!

unadhani mtu ambaye anataka akutapeli hawezi kutengeneza link n ukatuma na kutapeliwa? tambua kuwa tapeli ni professional kwa kazi yake so hilo ulisemalo l link si suluhisho..cha muhimu hapa ni mtu kujitambua na mambo y mtandaoni...umepewa namba tena ya voda ambayo utaitumia hata kwa kifurushi cha jero n ukauliza maswali yote ili kuclear doubt kabla hujatuma hela yeyote...sasa wewe unakuj kuterrify watu bana badala uwaongoze na kuu basic questions ili kuprove fact za tangazo tangazo...wenye uhitaji tumieni elimu zenu kujiridhisha.
 
We jamaa ni tapeli.majibu yako yamekaa kitapeli tapeli
 
It is simple. Waende pale ubalozi wa China wakaulizie na watapewa info zote. Kama hawawezi kwenda basi wapige angalau simu. Mimi huwa nawasiliana na balozi hizi kupata matangazo yao na kuwarushia vijana. Sema kwa sasa niko huku mbali otherwise ningekuwa nimeshapiga simu na ku-clarify kila kitu.

Naendelea kusema tena. Hahitajiki middleman na mtapoteza pesa bure tu.
 
Gud..mtu yeyote mwenye kujitambua hawezi lipa pesa yeyote mtandaoni pasipo kujiridhisha n taarifa utakazopewa...fanya hayo mawasiliano then km utahisi kuna ujanja basi ignore it..kwahyo usiconclude utapeli na silazma watu wote watumie njia unayotumia wewe...
Shame on you tapeli mkuu. Vijana hawa wana shida kubwa ya ajira na bila aibu unataka kuwatapeli. Hata ubinadamu hakuna. Wape maelekezo waende ubalozi au weka maelekezo hapa waziwazi kama kweli unataka kuwasaidia. Unataka kujifanya kama ww ndo wakala wa hizi nafasi wakati hata hao Wachina hawakujui. Tafuteni njia halali za kujipatia kipaji na sio huu ujinga wa kudanganya Watanzania wenzenu tena wenye shida. Udhalimu huu utarudi kuwatafuna nyie na vizazi vyenu.
 
unadhani mtu ambaye anataka akutapeli hawezi kutengeneza link n ukatuma na kutapeliwa? tambua kuwa tapeli ni professional kwa kazi yake so hilo ulisemalo l link si suluhisho..cha muhimu hapa ni mtu kujitambua na mambo y mtandaoni...umepewa namba tena ya voda ambayo utaitumia hata kwa kifurushi cha jero n ukauliza maswali yote ili kuclear doubt kabla hujatuma hela yeyote...sasa wewe unakuj kuterrify watu bana badala uwaongoze na kuu basic questions ili kuprove fact za tangazo tangazo...wenye uhitaji tumieni elimu zenu kujiridhisha.
Kwa nn wakutumie pesa ww? Wewe ni nani? Wachina hawa wanakujua? Wachina hawa wamekupa uwakala? Please. Acha kutapeli vijana wetu tena utapeli wenyewe wa kishamba huu. Ignore this loser and go straight to the Chinese embassy na mtapata taarifa sahihi huko.
 
Nyongeza muhimu: Maombi ya kazi kama hizi za kufundisha HUWA HAYALIPIWI. Ni bure! Kama unafanya application za kwenda kusoma ndo kuna application fee. Akikomaa kuwatoza pesa mtakaopiga KATAENI. Maombi ya kazi ni BUREEEEE!!!
 
Back
Top Bottom