Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 314
Lengo la UZI huu ni kuwa wale wote wenye Taaluma ya Elimu na Walimu waliowai kufundisha,na wale waliowai kufundisha lakini awajasoma Elimu(Ualimu)kuanzia Cheti mpaka Profesa,Upe mpaka Klashi Lengo la UZI walimu kujipa Moyo na kuwapa Moyo vijana wetu juu ya KAZI ya Ualimu,Vijana wetu wengi wanakata Tamaa juu hii KAZI kutokana Changamoto zilizopo kuunzia Malipo mpaka Mazingira ya Kazi huko vijijini,sasa tukiacha Hali hii Watanzania wenzetu wanaoishi vijijini Watakosa Elimu,sasa Walimu lazima wajivunie Ualimu sababu wanalitoa Taifa katika GiZa kuja katika MWANGA.
Naamini Waalimu wengi wamepitia CHANGAMOTO HIZI
Mosi,Mazingira magumu
Pili,Madeni
Tatu,Watu wa masijara Halimashauri kukuona Msumbufu
Nne,Kukaa vijijini bila Umeme
Tano,Kukosa nyumba ya kuishi
Sita,Uhamisho wa kituo cha kazi
Saba,kupanda madaraja
NB unaweza kuongezea, ila pamoja na CHANGAMOTO bado unafanya KAZI au Umestahafu bado ulikuwa Mwalimu
Naomba Walimu huu uwe wezi UZI wa kupeana Moyo na Ikiwezekena Kupeana FULSA ili kujikomboa
Mods usiamishe huu UZI nimeweka JUKWAA la AJIRA makusudi, sababu tutakuwa tunajadili KAZI ya Ualimu na mambo mbalimbali yanayohusu UALIMU
Karibu