Lowasa alishafanya tukio la aina yake kwenye sacoss ya walim moshi.vijijin alihamasusha uchangiaji pale .....walim watampa kura anawajali
hizo ni ndoto labda walimu wa kwa mtei na mbowe na ndo maana mnadata za nyumbani kwenu sasa ni histori mpya nchi inarudi mikononi mwa mwalimu magufuli basi na kuzaliwa upya kwa miaka 50 ijayo