Kama ndio huyu basi atakuwa mpu-****- mbavu sio bure!WONDERS JF
[emoji12] [emoji12] [emoji12] we jamaa umenishangaza sana, kumbe n mwl tena asie na ajira, Chuki zako tuu unakuja kubwabwanya humu. Usimuombee mwenzako mabaya ,ila kwa stail hii Ajira utaiskia Mtandaoni.
Siku zote mtu akituma post ya kipuuuzi cha kwanza n kuangalia Background yake kwanza, Mwisho wa siku naona kile ambacho nilitarajia kukiona
hakuna waalimu, tuna walimuKwa bahati nzuri au mbaya nina watu wa karibu waalimu wengine shule za msingi wengine shule za sekondari.
Kwakweli nakereka sana juu ya tabia za waalimu makazini
Hawa watumishi hawapendani wao kwa wao,ni watu wa majungu kila siku,hawana ushirikiano,wamejawa wivu hata kifikia mahali pa kuoneana wivu wa mavazi
Wengine kujipendekeza kwa walimu wakuu na wakuu wa shule ilimradi tu mwingine aonekane hafai
Mitaani ndo usiseme dharau kwa wanakijiji hasa wakina dada / waalimu wa kike
Hii inanifanya niamini waalimu wa siku hizi hawana wito maana hata tabia zao si za kuigwa na ndio sababu walimu wengi wanaishia kula na kuvaa wengi wao maisha ni duni mpaka wanapostaafu na wakistaafu hawafanyi chochote cha maana kwakuwa na ushirikiano duni na jamii
Wito wangu kwenu waalimu badilikeni ili sekta ya ualimu iheshimike kwa kuanza kuiheshimisha wenyewe
Hivi wewe mwalimu kumbe bado uelewa wako ni mdogo sana juu ya mambo mengi zaidi sana hata usalama wako binafsiHuu ukosefu wa ajira haujawahi muacha MTU salama
Tatizo linakuja kwenye hii roho mbaya , sasa kukosa kwake ajira ndo awachukie wal8o kwenye system??!!
Ataisoma namba mlafwoko huyo
Pole sana mkuu kwa kuwa mhanga wa ajira!Hawajui wanachotaka maishani
[emoji14] [emoji12] [emoji13]Pole sana mkuu kwa kuwa mhanga wa ajira!
Ila hata nje ya ajira kuna maisha tena ni mazuri tu cha msingi acha ujinga jikite kwenye mambo ya msingi hutojutia kutokuajiriwa ila kama kweli walimu ndio una mawazo ya hivi ualimu hautakuja kuheshimika tena mpaka kiama.
Tofauti yako ya walimu wa kike unaowasema sijaiona hapo ukute wewe ni mwalimu wa kiume uko hivi. Hivi wewe ungeajiriwa kweli unageenda kutufundishia nini watoto wetu?
Huwezi kuendelea kwa kumkasirikia/kumwonea wivu aliyekuzidi kimaendeleo haya huwa yapo kwa wake wenza tu hasa wakijikuta hawana upeo wa kufikiria maana wao huwaza kushindania bwana mmoja huyo wanaye share pamoja!
Wewe na hao walimu wa kike mnashindania nini?
Jitafakari
Yaaan usiulizee ndo mwenyewe tena kasomea TEKU NilishamstukiaKama ndio huyu basi atakuwa mpu-****- mbavu sio bure!
Mwenye akili timamu huwezi kuwa na mambo ya kufitinisha. Kama kweli ni mwalimu basi alichokiandika ndio tabia yake ila ameshindwa tu kusema jamani mimi heavload niko hivi badala yake akaja kwa kofia ya walimu ili aelezee wasifu wake.
Wazazi wa huyu waliuza ng'ombe wao kumpeleka ng'ombe huyu shuleni!
Yaan bahat nzur jf ukiweka post huwez ifuta, Alikuja humu kulalamika hana ajira n mwalimu. Leo amekosa anaruka ukuta. n yale yale ya sizitaki mbichi hiziHuu ukosefu wa ajira haujawahi muacha MTU salama
Tatizo linakuja kwenye hii roho mbaya , sasa kukosa kwake ajira ndo awachukie wal8o kwenye system??!!
Ataisoma namba mlafwoko huyo
Acha alalame tu sisi tuko kwenye makanikia saivi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaaan usiulizee ndo mwenyewe tena kasomea TEKU Nilishamstukia