Acha kulazimisha mambo wewe ,hiyo lugha inawenyewe.Huna tu uwezo wa kuelewa lugha hii possibly kwakuwa na kadivisheni 4 kako kale kapointi 28 au upe ndio maana umekosa hoja nyamaza kimya!
Collective judgement inaonesha mapungufu kwenye mchakato mzima wa kufikiria.
Naona bitoz anaanza kuvuliwa taulo hadharani.
Mtu mwenyewe umejiunga JF january 22 hata nusu mwaka bd hujamalza unakuja kutoa ukoko humu. wenzako wanatuliaga kwanza kusoma upepo na kuangalia watu wanaoshusha mada kwa Logic na evidence. We unakuja kutapika mapera humu. No wonder post 200 like 70
Kaka we ni balaa. Naona huyu kenge mmemvua taulo.WONDERS JF
[emoji12] [emoji12] [emoji12] we jamaa umenishangaza sana, kumbe n mwl tena asie na ajira, Chuki zako tuu unakuja kubwabwanya humu. Usimuombee mwenzako mabaya ,ila kwa stail hii Ajira utaiskia Mtandaoni.
Siku zote mtu akituma post ya kipuuuzi cha kwanza n kuangalia Background yake kwanza, Mwisho wa siku naona kile ambacho nilitarajia kukiona
Acha kuharibu lugha ya watu wewe mwalimu.Continue wasting your time by searching nonsense !!!
I know you have come to the end of your thinking scope
Mtoa mada atakuwa na jambo lake...Hivi kwanini walimu inasemekana wengi wao wana maisha duni???
Kwa kupitia comments mbali mbali nimejua kabisa kuwa dahhhhhhhhhhh
Kwenye huu uzi nimejua mengi sana
Thanks
Cc Smart911
Hapo we ndo kilaza kwan walimu wngp wanfanya mambo ya maana. Walimu wangapi wanastaafu pensheni wanafnyia vitu vya maana........hujafikiria sana MKUU...watu hapa tumesomeshwa kwa mshahara ya hao waalimu unaowadharau wewe .....walimu hao unaowaponda wewe ndio waliokupa baadhi ya maarifa na ujuzi unaotumia mpaka Leo hii............ Fikiria Mara mbili kisha uandike hoja ya maana na siyo hiyo uliyoandikaAcha ukilaza wewe mwalimu kwahiyo mtu akikukosoa anakuwa interested na mapenzi. Au wewe ukimkosoa mwanafunzi wako tuseme unamtaka kimapenzi.
Kama ni hivyo itakuwa tatizo ni kubwa zaidi ya ninavyolijua.
Kubali kukosolewa halafu jitathmini kama una tatizo jirekebisheni sio kubwabwaja nonsense!!!!
Mkuu huyu jamaa haina haja ya ku mquote, halaf kumbe n mwali aliekosa ajira anakuja kutapatapa humuHapo we ndo kilaza kwan walimu wngp wanfanya mambo ya maana. Walimu wangapi wanastaafu pensheni wanafnyia vitu vya maana........hujafikiria sana MKUU...watu hapa tumesomeshwa kwa mshahara ya hao waalimu unaowadharau wewe .....walimu hao unaowaponda wewe ndio waliokupa baadhi ya maarifa na ujuzi unaotumia mpaka Leo hii............ Fikiria Mara mbili kisha uandike hoja ya maana na siyo hiyo uliyoandika
Dharau hazijawahi muacha MTU salama
mkuu sio wanae tuu, yeye mwenyewe n mwalimu aliekosa ajiraa[emoji12] [emoji12] [emoji12]Nakuombea mungu watoto wako wawe walimu wrote tena Wa masomo ya sanaa
Yani mleta uzi, ungekuwa karibu yangu au shule ninayofundisha na kuongea upuuzi kama huu, hakika usingetoka salama. Meno yako yote 32 yangekuwa ukumbusho maktaba ya shule, wanafiki kama ww huwa siruhusu wakatize na maneno ya kike kama haya.
Mkuu mimi sijawahi kufikiri kumtongoza mwalimu au ningetaka ningeisha fanya maana zipo njia nyingi za kumpata mwalimu kutokana kuwa wengi wao wana maisha magumu hatari
Kwa kifupi sina mahali naweza kutana na mwalimu maana ninapoweza kwenda kubarizi mwalimu hana uwezo wa kufika labda ajichange mwaka mzima.
Sanasana tunaonana wakifika niwakopeshe sukari 'unga na chumvi au nauli wakafuate mshahara vinginevyo kutokana na tabia zao sio wote sinaga mzuka nao
[emoji33] [emoji33]nani kakwambia ualimu ni wito? hii ni kazi kama nyingine.
kuhusu majungu na kujipendekeza, hii ni tabia ya mwanadamu. hata bungeni unaona wabunge wanavyojipendekeza kwa mamlaka!
kuhusu ushirikiano miongoni mwao, sio lazima sana. urafiki haulazimishwi.
kujidai, hulka ya mtu, hata mpiga debe anajidai.
hitimisho:
walimu nawaomba mkaishi kwa kuzingatia sheria, taratibu na kanuni za nchi.