Waajiriwa wa Tanesco mnajisikiaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waajiriwa wa Tanesco mnajisikiaje?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIWAVI, Jul 19, 2011.

 1. KIWAVI

  KIWAVI JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 1,748
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  Yaani napata shida sana nikimuona rafiki yangu wa Tanesco, injia maarufu akiwa aningia bar mabega juu na kusalimia watu kama hamna issue

  Hivi huwa mnajisikiaje na hili sakata la umeme...? Je mishahara ikichelewa na nyie mnalalama?
   
 2. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wamefuata ujira wa mwiha tu. Mengine kwao sio muhimu sanaaaana.
   
Loading...