Pia mjitahidi kutopeleka mshahara wote kwa GwajimaSina maana mbaya ila muwe makini msiingie kwenye madeni wakati wa sikukuu ya pasaka
Hongera sana mkuuHatutegemei mshahara peke yake kuendesha maisha Mkuu.
Tutakuwajibisha
AsanteHongera sana mkuu
Hahaha! Acha hizo ww.Na wasoajiriwa shida yenu nyie mlioajiriwa na serikali huwa mnajiona mna haki kuliko wengine nyie huwa ni kulia lia tu hamuishi kulalamika acheni kazi mjue kuna muda huiwa mnanikera sana nyie waajiriwa