Waajiri watoe mrejesho kwa wasailiwa walioshindwa

Mikeyy

Senior Member
Jul 8, 2015
106
35
NAOMBA WAAJIRI MUWE MNAJITAHIDI KUWAPA TAARIFA WASAILIWA WA MAHOJIANO KAMA WAMEFANIKIWA AU LA. UNAKUTA MTU AMEFIKA MPAKA ORAL INTERVIEW, ANAKAA MUDA MREFU HAJAPATA FEEDBACK YOYOTE KAMA AMEFAULU AU AMEFELI. FEEDBACK INASAIDIA SANA IWE POSITIVE AU NEGATIVE.
 
Wenzio hua wanabadilishana namba hivo inakua rahc kujua kama mwenzio amepigiwa au la..hawana mda na wasiofanikiwa kupata kaz
 
Back
Top Bottom